Copy JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 1,055 Reaction score 1,341 Jul 28, 2022 #41 dudus said: ... kuna ile ya kutuma TELEGRAM; max. maneno 10 zaidi ya hapo unalipia every extra word. Sijui hii ndio equivalent na SMS siku hizi? Kuna binadamu wa sasa hawajui kabisa kama hii kitu iliwahi kuwepo wakati ni just a few years ago! Click to expand... Niliikuta hii kwenye somo la kiswahili nikiwa secondary. Kumbe kweli ilikuwepo!
dudus said: ... kuna ile ya kutuma TELEGRAM; max. maneno 10 zaidi ya hapo unalipia every extra word. Sijui hii ndio equivalent na SMS siku hizi? Kuna binadamu wa sasa hawajui kabisa kama hii kitu iliwahi kuwepo wakati ni just a few years ago! Click to expand... Niliikuta hii kwenye somo la kiswahili nikiwa secondary. Kumbe kweli ilikuwepo!
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 28, 2022 #42 Kumbe kuna mijitu mizima humu ila inafanya mambo ya kitoto
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Jul 28, 2022 #43 Hili andiko na lile la wazee wa mjini limenifanya niwajue wakubwa zangu hakika tuko na watu wa kuweza kutushauri jambo humu jukwaani.
Hili andiko na lile la wazee wa mjini limenifanya niwajue wakubwa zangu hakika tuko na watu wa kuweza kutushauri jambo humu jukwaani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 28, 2022 #44 Kuna mambo yanafurahisha sana...
kitonsa JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 1,211 Reaction score 2,649 Jul 28, 2022 #45 Du tumetoka mbali barua kuwasiliana na ndugu mpaka slp ya kanisa au kutupa kituoni Cha eneo husika na majamaa yanakuletea mpaka home Money order shuleni , stempu kuchubua kwa kichwa ili utume tena, reverse call
Du tumetoka mbali barua kuwasiliana na ndugu mpaka slp ya kanisa au kutupa kituoni Cha eneo husika na majamaa yanakuletea mpaka home Money order shuleni , stempu kuchubua kwa kichwa ili utume tena, reverse call