Maisha tuliyoishi na Telephone Operators

Maisha tuliyoishi na Telephone Operators

... kuna ile ya kutuma TELEGRAM; max. maneno 10 zaidi ya hapo unalipia every extra word. Sijui hii ndio equivalent na SMS siku hizi? Kuna binadamu wa sasa hawajui kabisa kama hii kitu iliwahi kuwepo wakati ni just a few years ago!
Niliikuta hii kwenye somo la kiswahili nikiwa secondary. Kumbe kweli ilikuwepo!
 
Kumbe kuna mijitu mizima humu ila inafanya mambo ya kitoto
 
Hili andiko na lile la wazee wa mjini limenifanya niwajue wakubwa zangu hakika tuko na watu wa kuweza kutushauri jambo humu jukwaani.
 
Du tumetoka mbali barua kuwasiliana na ndugu mpaka slp ya kanisa au kutupa kituoni Cha eneo husika na majamaa yanakuletea mpaka home

Money order shuleni , stempu kuchubua kwa kichwa ili utume tena, reverse call
 
Back
Top Bottom