Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
assignments tunazotolewa huwa tunapewa na marksChuo gani kina course work ya 70?
Naona bampa to bampa!!
Chuo ganiassignments tunazotolewa huwa tunapewa na marks
Complete course work inakuwa mwisho wa semester
(70/100)*40= 28Chuo gani kina course work ya 70?
Naona bampa to bampa!!
ARU ,kule baadhi ya masomo hayana mtihaniChuo gani
Muongo weeeee coursework 82?Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .
Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa
Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82
Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia
Chuo gani hicho finals zimebakiwa na 30%??? Coursework 70%?? Ebu elewesha!Aiseee maisha matamu sana hasa ukiweza kujipangilia
Mm na wanangu kuanzia jumatatu mpaka alhamisi tunasoma kama hatuna akili timamu yani msuli heavy .
Ila babaa kuanzia ijumaa mpaka jumapili ni mwendo wa bataaa mwanzo mwisho yani bampa tu bampa
Na kufeli hatufeli
Course work inasoma furesh mm nimepata 70 ,mwanangu mwengine kagonga 62 ,mwingine 68 halafu mwingine 82
Lakini cha ajabu wale ambao wanakesha class wamelamba 45 ,wengine 50 na kitu wachache ndio wametukaribia
Engineering Drawing (somo)Chuo gani hicho finals zimebakiwa na 30%??? Coursework 70%?? Ebu elewesha!
pitia mabandiko yangu vizuri nimetolea ufafanuzi suala hiliMuongo weeeee coursework 82?
Stupid questionHuu utaratibu umepitishwa na nani??
Sasa umeanza kuonyesha ni chuo gani unasoma! Okei, endelea kubampa to bampaStupid question
Mpaka kucheeeeSasa umeanza kuonyesha ni chuo gani unasoma! Okei, endelea kubampa to bampa
Okna ukimaliza kusoma sijui apo amazoni collage, ujiandae kuja kuisoma namba huku mtaani ajira hamna.
Usidandie gari kwa mbeleJf bhana!
kila mtu anasoma au alisoma chuo, siku nyingine jipange chuo gani hicho cw ya 82?