Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club

Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club

I wish I could be Ndalichako, hako kachuo ningekafuta kabisa kwenye ramani ya vyuo!!
Watu hadi jumapili tulikua tunapigwa pindi 4 hours consecutively!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom