Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club

ARU ,kule baadhi ya masomo hayana mtihani


Course work70% halafu mwisho wa semester kunakuwa na presentation mbele ya wakufunzi wanakuuliza maswali kadri unavyopatia ndivyo unapewa marks ambazo kwa ujumla zina contribute 30%
Ebu tutajie maprofessor watatu wa ARU tukuamini
 
Kula bata dogo,ili uzeeni isiwe kama umeruka hatua. Ukifika kipindi cha utunzaji wa Familia,utulie na familia.
 
Haina shida kwa hapo chuo cha veta hata usipoudhuria mhula mzima utajaziwatu.
 
Zingalikuwa ni fedha zako ungezitumia ovyo? Ref: Hamna kitu kinachokera duniani kama kuwa na shemeji ambaye masikini na hana msaada na wewe
 
chicken head


Nani amekwambia.mimi maskini?


Kusema nataka shem ambaye at least hata laki moja ya soda haimpigi chenga nayo ni tatizo?
Unapenda vya bure mtoto wa kiume utaolewa!!!! Shauri yako, soma acha mbwembwe na misifa kama.....
 
Hehee hallelujah. .....huu uvamizi wa wazi Kabisa. ...we katotoo....hebu soma bata zipogo tu
 
Mkuu naomba usitutajie kozi yako maana itakua kichekesho tu
 
Huyu dogo ajielewi kama anasoma na hela inakuwa excess si ajiajiri? Sasa unakaa hostel za chuo bei karibu bure, chakula mlo mmoja ni wa 1500,mawazo hayawezi kupanuka maana unaishi a fake and cheap life, in mean time utamaliza chuo utaanza kusota.... Hivi unadhani kula good time kwa hela inayoondoka bila replacement ni dili sana? Try the streets boy.... Soma vitabu ujue jins ya kuwekeza excess money kijana, kama ni chuo watu wamesoma sio wewe kipindi hiki cha digitali hata kisoma hamsomi vizuri mnazima tu moto... Wakina Grant cardone, Robert Kiyosaki, Masiyiwa na wengine wanavitabu vya maana vichwa maji kama nyie msome.
 
mkuu kunywa pombe kwa sana,vuta shisha kabisa halafu vitafune viwanafunzi,kula ujana mkuu huu ndo wakati wako halafu mkuu jaribu na kula na ngada maana inasaidia sana na inaleta stimu kwenye kusoma
 
Course work 70..!? Ni chuo cha udereva au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…