Maisha ya chuo raha kusoma mwisho alhamis ,ijumaa mpaka j pili tunakesha club

mpaka hapo ushafeli kama unajua chuo ni kwenda kusoma na kupata AA kwenye masomo,,pole sana
 
Nasikia watu wanasema unasoma chuo cha utalii
 
utakua unasomea usanii wewe elimu gani hiyo ndio maana magu anawatafuta sana ........ halafu utakua unasoma certificate ya IT mtihani unapewa what is computer
 
Wakati udsm jumamos na jumapili ndyo siku ngumu kwa wanafunzi waliowengi maana hizo siku mara nyingi huandamwa na test hivyo wengi huwa ni siku ambazo siyo za starehe kabisaa
 
we utakua mwaka wa kwanza....ntakusaka baada ya miaka minne nfahamu kama utakua unaendelea kubampa to bampa mtaani
 
Dah... Raha jipe mwenyewe [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
yap kwelii kabisaa mkuu...Masiyiwa kitabu ganii nikitafute..kiyosaki nimecheki cheki vitabu vyake..
 
ARU ,kule baadhi ya masomo hayana mtihani


Course work70% halafu mwisho wa semester kunakuwa na presentation mbele ya wakufunzi wanakuuliza maswali kadri unavyopatia ndivyo unapewa marks ambazo kwa ujumla zina contribute 30%
nimesoma ardhi kipindi hicho inaitwa UCLA's...cjawah kuona somo ambalo halina mitihani...
 
Mwanafunzi anayejielewa na mwenye malengo yake sidhani kama ataandika huu UPUUZI ulioandika hapa........."Eti Ijumaa hadi jumapili tunakesha club"...
 
kizazi cha Google
 

Attachments

  • respect-your-elders-they-made-it-through-school-without-google-or-wikipedia-322.png
    15.5 KB · Views: 88
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…