Maisha ya chuo

Maisha ya chuo

dorge

Senior Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
118
Reaction score
186
Wana Jf

Nilijiunga chuo kikuu cha serikali nikitokea kazini. Hii inamaanisha nilikwenda nikiwa mtu mzima umri wa miaka 35. Kwa kuwa nilikuwa mtu mzima nilikutana na watoto wadogo sana na wengine nilifamiana nao.

Sikuwa mtu wa kampani. Nilipendelea kukaa peke angu. Wakati wote nimekuwa nikiwavutia mabinti na nilijua sababu maana maisha ya chuo yalihitaji pesa, wengi walijua ninakipato, uvaaji ulikuwa wa kuvutia mno. Nguo nilipendelea ni suruali za vitambaa japo ni mitumba na mashati yangu nilipendelea kununua kwa jamaa mmoja anaitwa black(code).

Hostel nilimuomba warden nisikae na watu wengi, nilimuomba na kumlipa nikae na japo mtu mmoja na alikubali.

Cafeteria, nililipa bili kwa hiyo sikuwa mtu wa kupanga foleni. maisha yangu yakikuwa simple sana.

Kuna tabia moja vyuoni, wadada kubadili mabwana, mimi nilichagua mrembo ambaye nilihakikisha hatoki ndani huyu binti aliyajua mapenzi. Tatizo lake anapenda ngono mno.

Sikumbuki nilifamiana nae vipi ila kuna siku nilikutana na binti wa kiongozi mmoja mjini nadhani tulisalimiana ila nilikuja kugundua alikuwa akinitaka kwa sababu binti mpenda ngono tumuite (shani) sio nina halisi walisoma wote Advance, huyu binti wa kiongozi mkubwa serikalini tumuite Mwajei(sio jina halisi) sasa kutokana na mwajei kuwa na uwezo, Shani ni yatima mwajei akatokea kunichukia sana bila sababu za msingi. Mimi sikujali kwa sababu sikuwa na cha kujali. Maisha yetu na Shani yalikuwa mazuri nilikuwa na vyanzo vya fedha vinne boom,mshahara,biashara zangu na mkali mmoja alikuwa ananipa msaada, binafsi niliona bora kuwa na Shania nimsaidie na ukizingatia ndio first born. Wakiwa Advance walikuwa na mahusiano na mkuu wa shule na mtaaluma. Pale chuoni alitembea na jamaa watatu. Haya yote niliyajua baada ya kuhakikisha hawi na mahusiano na mtu. Nilimiliki simu yake kwa sababu tulilala wote labda akienda lecture. Shani alikuwa na umbo flani ni wale wanawake akisimama unaona tobo katika ya miguu na hips pana.

Chumba chetu kilikuwa juu na jamaa tulikubaliana kuishi na wanawake wetu, kila mtu deka lake juu mabegi.

Yale yalikuwa maisha ya ajabu sana. Na huko vyuoni waliopita huko wanajua, kuna mambo mengi.

Inaendelea
 
Dah natamani sana nirudi chuo nikafaidi na mie maana sikufaidi enzi hizo nikiwa domo ,ege.

Jamani kuna kozi gani ya bei nafuu naweza soma chu japo niwe naranda randa tuu campus naona warembo
 
Mademu wa chuo ni nyoko. Ni wepesi mno kunyanduliwa.
Si wengi wanakua wamebanwa kwa muda mrefu huku wakiaminishwa kama wanataka hayo mambo basi watayakuta chuo so wanapoingia chuo ni kama wamefunguliwa kwahiyo, kwahiyo ukimfuata akiona unafaa kuliwa anakukula ingawa kwa akili za vijana wa kiumbe huwa wanadhani wao ndio wamekula, ila in reality wao ndio waliwao 😂😂😂😂.

Wanawake wako very smart kwenye eneo hili, na utofauti wetu ni kwamba sisi tunatamani kwa kuona na ukishaona na kutamani basi unatongoza ila wanawake huwa hawawezi kutongoza kwahiyo akikupenda anakutega ili umtamani na umtongoze akakukule(au tusiseme kukukula, tuseme akakutumie🤣🤣).

Kwahiyo kinachotokea hapo mwanamume ataona daah yule mwanamke nimemla kimasihala ila in reality yeye ndio ameliwa kimasihara.

Na hii ndio hutokea kwa mabinti wengi wa chuo, ukiona ni mrahisi ujue ni amependa kukujaribu aone ladha yako coz wengi huwa hawako serious kwenye mapenzi na badala yake huwa wanajaribu jaribu tu kama mfanyavyo vijana wa kiume.

Kwahiyo vyuoni wamejaa maplay boy na maplay girl. 😅😅😅
 
Back
Top Bottom