Maisha ya depo



MAISHA YA DEPO

SEASON-2

EPISODE 27

Jioni yake tukiwa KOMBANIA habari ilikuwa ni hiyo makarani wao walipona maana ukiwa karani tafsiri yake una kitengo hivyo kazi za hovyohovyo kama hizo zinakupitia kushoto hivyo mtu kama karani wetu wa KOMBANIA afande Jala alikuwa yupo kundi la walio safi.

Tukiwa KOMBANIA afande Jala alituambia kuwa ule ni mfano tu wa itakavyokuwa kipindi cha Six Week hivyo tuwe tayari maana kwa wale imetokea kwa masaa machache lakini kwetu sisi itakuwa ni ndani ya siku 42.

Tulipomwambia kuwa wale walikuwa na makosa ndiyo maana yamewakuta mabalaa yale akasema kwamba “kipindi cha Sixweek hakuna tofauti kabisa kati ya adhabu na mazoezi yaani afande anaweza kuja akawaambia kuruta mbona mmepoa haya kunja ngumi”.

Akaendelea kutuhabarisha “Yaani hapo kosa linakuwa ni kupoa na ili mchangamke inabidi awape DOSO la kwenda yaani nyie ponapona yenu ni mkiwa kwenye bustani wakati wa kumwagilia mboga na hapo muombe msiende na afande wa BAKABAKA”.

Siku zilizidi kukatika japo tulikuwa tukiona zinachelewa haswa pale tulipoambiwa kozi bado haijakolea huku tukiogopeshwa zaidi na hiyo siku iliyoitwa introduction to the camp ambayo ni shoo ya ufunguzi wa wiki sita.

Siku moja baada ya chai tuliitwa UWANJA WA DAMU ambako tulikutana na mazingira tofauti kabisa kwani kulikuwa na meza na viti pamoja na maafande wengi wa BAKABAKA vuta picha uoga tuliokuwa nao mioyoni mwetu.

Mungu si Athumani mvua ikashuka ikabidi walighairishe zoezi lao ambalo hatukulijua lilihusiana na nini tukaruhusiwa kurudi zetu MAHANGANI hali iliyotufanya tupige makelele ya furaha kwa kunusurika na zoezi ambalo tulihisi ni lile la utambulisho wa kikosi.


Siku hiyohiyo baada ya chakula cha mchana huku mvua ikinyesha ilibidi TUFOLENI kwenye bwalo la chakula la SM kuna zoezi lilionekana kutakiwa kufanyika ila kwa mara nyingine lilishindikana tena maana eneo hilo lilionekana halitoshi kwa wingi wetu.

Basi ulipofika usiku wa siku hiyo ambayo tulikuwa tukila chakula cha jeshi bila kukitolea jasho lolote tulifoleni KOMBANIA kama ilivyo ada.

Mvua ilikuwa imekata hivyo hali ilikuwa shwari kabisa tulikuwa tukila ngoma mbalimbali zilizofahamika kama CHENJA ambapo afande Jala ndiye aliyekuwa akituimbisha alituataka tumpe beat ndipo yakaanza kusikika makofi paah! paah! paah! paah!“

"Afande: Embe dodo sijalila, embe dodo bwana sijalila, embe dodo sijalila, embe dodo bwana sijalila.

Sisi: Embe dodo sijalila, embe dodo bwana sijalila, embe dodo sijalila, embe dodo bwana sijalila.

Afande: Na barua nimetuma, na barua bwana nimetuma, na barua nimetuma, na barua bwana nimetuma.

Sisi: Na barua nimetuma, na barua bwana nimetuma, na barua nimetuma, na barua bwana nimetuma.

Afande: Na majibu sijapata, na majibu bwana sijapata, na majibu sijapata, na majibu bwana sijapata.

Sisi: Na majibu sijapata, na majibu bwana sijapata, na majibu sijapata, na majibu bwana sijapata.

Afande: Embeh(paah!), embeh(paah!), embeh(paah!), embeh(paah!).

Sisi: Embeh(paah!), embeh(paah!), embeh(paah!), embeh(paah!).

Afande: WAZALENDO Wiih
Sisi: Waah Afande: Ewiih
Sisi: Ewaah
Afande: Ewiih
Sisi: Ewaah”.

“Eti mchana WAZALENDO mlikuwa mnafurahia mvua kunyesha mkiona mmeikwepa introduction acheni kujidanganya hakuna kipindi makamanda wanaenjoy kozi kama kipindi cha mvua”.

Karani wetu alianza kutujaza gesi tukajikuta tunaguna “mnnnh” akasema “Khaah mmeamua kuning’ong’a sawa ning’ong’eni tu ila ukweli ndiyo huo”.

“Sixweek yenye mvua ni tamu mno kuliko ya jua tuulizeni sisi tuliofanya kipindi cha masika nyie simmekuja kipindi hiki cha mavuno kidogo kozi yenu itakuwa mtelezo” aliendelea kujazia hoja yake.

Afande aliendelea kusema “Yaani ndani ya usiku wenye baridi kali na mvua yenye ujazo mnakesha na afande MKALAKALA ambaye anawapa DOSO la nguvu na asubuhi yake mnaamkia shamba mnaenda kulima huku mvua inanyesha yaani ni hatari tupu si mmeshawahi kulima kwenye mvua nyie? najua hamjawahi ila mtalima tu”.

Afande huyo aliendelea kutupa mfano mmoja ambao tulijiona sisi wenyewe ile siku KARANGA walioharibu kazi wakidosolewa kunako UWANJA WA DAMU.

Kwanza wale wasio na makosa walikuwa na kazi moja ya kusombelea ndoo za maji kutoka mtoni ambayo walimwagiwa wale walioharibu kazi na wakatakiwa kujigaragaza chini mithili ya nyoka waliomwagiwa mafuta.

Katika moja ya tukio la kufikirisha moja ya BAKABAKA aliyefahamika kwa jina la “Shona tulia” alikuwa akichukua ndoo za maji na kujimwagia yeye mwenyewe yaani vuta picha anayetaka kukuadhibu anajiadhibu kwanza yeye sasa niambie itakuwaje ukifika muda wa kukuadhibu mkosaji.

Kifupi wale jamaa mpaka yanaisha yale masaa matatu walikuwa hawana hali na walichafuka mno.

Mfano huo ulianza kutufungua kwamba huenda kinachozungumzwa ni kweli maana tulizidi kumdodosa na kumuuliza kama mvua siyo shida kwao mbona walikuja tofauti na meza zao ila baada ya mvua wakaghairisha.

Karani Jala alituambia kua ni kweli walisitisha zoezi lao kutokana na mvua kunyesha ila sababu ni kuwa kuna fomu tulitakiwa tuzijaze kwaajili ya kuandaliwa vyeti hivyo isingekuwa rahisi kufanya hivyo kwenye mvua.

Maneno ya karani huyo yalikuwa yakituingia maana ni kweli muda ule tuliona marundo ya makaratasi kwenye meza.

Siku iliyofuata hali ilikuwa shwari na baada ya chai tuliitwa tena UWANJA WA DAMU na mazingira yalikuwa ni sawa kabisa na yale ya jana.

Kweli bwana tulipewa fomu za jeshi tuakajaza baadhi ya taarifa zetu na baada ya zoezi hilo Matroni Neema alitusisitiza kuwa tunywe maji mengi tukae tayari kwa lolote maana siku yoyote kitanuka.

Maneno hayo yalizidi kutupandisha joto na mbele yetu tukawa na siku mbili ambazo hatukujua zitafika lini yaani kiyama na hii ya utambulisho wa kambi.

Siku iliyofuata ilikuwa mahususi kwa ajili ya vipimo vya hali ya afya zetu lakini zilihusika KOMBANIA tatu pekee yaani A-Coy, B-Coy na E-Coy wengine tuliungana na SM tukaelekea zetu shambani kuendelea na mavuno.

Siku hiyo KARANGA zilikuwa za kutosha inaonekana DOSO walilopewa lilitosha kuwarudisha kwenye mstari hivyo walikuja kwa idadi ya kutosha kwani bado walikuwa kwenye siku za matazamio alizozitoa Matroni daboli N. ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

***************Itaendelea…………………......…...



The season 3 is ready to arrival
Stay ON................
 


MAISHA YA DEPO

SEASON-2

EPISODE 28

Siku iliyofuata ilikuwa ni siku ya vipimo kwa KOMBANIA za C-Coy, D-Coy na F-Coy (Fox-Coy) ambayo ilikuwa changa chini ya karani wao aliyefahamika kwa jina la Ambokile.

F-Coy ilitokana na wageni waliochelewa kuwasili kokosini hivyo ikaundwa KOMBANIA hiyo baada ya idadi kuonekana kuwa kubwa kwa KOMBANIA nyinginezo.

Tukiwa katika Zahanati ya kikosi iliyokuwa ikihudumiwa na SM ambao walitupima uzito, urefu pamoja na kuchukua sample ya damu kwa ajili ya vipimo zaidi.

Kuna baadhi ya vipimo vilivyokuwa vikizungumzwa mtaani sijajua hawakutaka kutupima ama havipo kabisa huenda labda ni mtaa tu umeamua kutengeneza propaganda.

Moja ya vipimo hivyo ni kile ambacho mwalimu mmoja wa field tukiwa advance alipenda mno kukizungumzia maarufu kwa jina la “Tochi”.

Mwalimu alikuwa akituambia kuwa wakati wa kipimo hicho wanajeshi wana litochi🔦 lao ambalo humulika kupitia njia ya haja kubwa wakijiridhisha uwezekano wa kuwa moja wa mfuasi wa chama cha umoja wa rangi saba🌈.

Kipimo kingine ambacho kinasemwa sana mtaani na hatukukutana nacho ni kile cha kupima uimara wa nguvu, inasemekana unaingia kwenye chumba ambacho unakutana na mshangazi unaojua kila aina ya mitego.

Shangazi hilo mnakutana wote mkiwa watupu na ikitokea una nguvu za kutosha kama mimi basi Abdala kichwa wazi lazima apandishe H+ vinginevyo analala yoo.

Zote hizo zilikuwa ni propaganda za mtaani maana mtaa ushazoea kuzusha ilimradi vijiwe visikose la kujadili.


Siku moja tukiwa shambani nilikutana na Matroni Anna akadai kuwa hakuwa akinipata kwenye simu nikamwambia kuwa simu imezima chaji na sikuwa na wa kunichajia.

Matroni aliniambia kuwa tukirudi nimpatie akanichajie mlume nikajiona kabisa nakaribia kuumbuka ila akili haikulala nikamwambia kuwa tayari nimekwishampata msamalia mwema na muda ule itakuwa inachajiwa hivyo asijali nitamtafuta mimi mwenyewe ikitoka chaji.

Tuliendelea na kazi hiyo na Matroni aliomba nimsaidie kwani wao walipewa lengo la idadi ya ndoo tofauti na sisi ilikuwa ni fungulia goli hivyo ikawa ni fursa kwa SM wenye kutumia fursa.

SM walikuwa wakitusimamisha njiani na kuchukua mahindi tuliyovuna aidha kwa kuomba ama kwa kupora.

Wapo waliofumwa haswa wale wasiokuwa na bahati na kama kawaida ilikuwa ni kama wamekutana na bwana Pepsi DOSO liliwashukia.

Jioni yake tukiwa KOMBANIA niliweka laini yangu kwenye simu ya jamaa mmoja aliyeitwa Gift ambaye vitanda vyetu vilikuwa Jirani tukiwa HANGA hilo la D-Coy.

Nilimcheki matroni tukawa tunachati akanipanga kuwa baadaye tukiwahi kuruhusiwa KOMBANIA nimtafute ana jambo na mimi ila kama itatokea nikachelewa tutafanya siku nyingine.

Tulitulia zetu KOMBANIA mpaka mishale fulani ya saa tatu na nusu alipokuja afande Ashiru na Afande Mpapi waliokuja kuchukua Lokoo ya usiku huo.

Walituambia kuwa wanaturuhusu mapema ili tukamalize usingizi wote kabla ya kesho maana ule wakati ndo umefika.

Nilipofika HANGANI bila kupoteza muda nilimcheki Matroni ambaye alishangaa kumwambia ya kwamba tumeruhusiwa akatia mashaka maana ilikuwa ni mapema mno.

Ilimbidi aende kuchungulia UWANJA WA DAMU kwa ajili ya kujiridhisha kwa macho yake kweli bana alipofika hakumkuta yeyote.

Matroni alipitia MAHANGANI kwao akidai kuwa anaenda kusoma mazingira na baada ya kujiridhisha aliniambia tukutane karibu na vyoo vya bwaloni.

Nilifanya hivyo na tulipokutana moja kwa moja alinichukua na kunipeleka upande wa vyoo vya kike tukaingia kwenye moja ya choo.

Tukiwa huko alimpamba mwali wake na baada ya kumaliza tulitiririka MAHANGANI kwao mpaka kwenye chumba alichokuwa akilala.

Alisogea ukutani na kubonyeza swichi iliyopelekea kuzimika kwa taa ya chumba hicho kisha akanisogelea nilipo.

Nilikula kumbatio lililohalalisha kuanza kwa shoo ya mdomo kwa mdomo na ghafla nikaona mkono wake ukikimbilia uliko mshedede akawa anaushikashika alafu pasipo na taarifa akaniachia.

Alisaula alizovaa akabakiza taiti na vesti kisha akawasha tochi ya simu yake na kwenda lilipo begi lake alilolifungua kisha akatoka na kiboksi ambacho sikukiona vizuri.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

**************Itaendelea…..............................
 

Duuh Mzalendo umeiva ila umekatisha kwenye utamu
 
Kifuatacho ITV........!!
 
MAISHA YA DEPO

SEASON-2

EPISODE 29

Matroni alinisogelea nilipo na kunivuta kitandani kisha tukakaa akanipa simu nimmulikie mikononi ambapo alifungua kile kiboksi kumbe kilikuwa ni kiboksi cha mipira ya hamu yaani Kondom.

Alitoa pisi moja na kuifungua kisha akanipokonya simu na kuiweka kitandani huku akiufunika upande unaotoa mwanga wa tochi na baada ya hapo akanisimamisha tena na kunisaula za chini mpaka alipokutana na Karim mdogo.

Aliichomoa kondom kwenye pakti yake na kunivisha pale inapotakiwa kuvishwa kisha akanivuta kitandani huku akilishikilia dubwana na kuliekeza kilipo kitumbua.

Basi kufikia hapo sikutaka kujifanya sijui kinachoendelea nilimkumbatia na kulisokomeza utelezini nalo likateleza haswa mithili ya nyoka aliyekuwa akitumbukia kwenye nyumba yake.

Weka tuweke zikaendelea na ghafla wazungu wakaanza kuitana ambao sikuwazuia kwakuwa njia zote walikuwa wakizijua hivyo nikawasikia wakiflow wenyewe tu waah.

Nikiwa kifuani mwa matroni sikutaka kuinuka kabisa nikajikuta naendeleza raundi kana kwamba hakuna kilichotokea😋.

Matroni ni kama alikuwa live akifuatilia kila kilichokuwa kikiendelea ghafla alinisukuma na kusema “we una nini wewe embu tosheka basi”😕.

Niliinuka na kuketi kitako matroni akasema “we ina maana hujaona kwamba umekojoa? unaendelea kufanya nini sasa au hujawahi kutumia mpira wewe”.

Nilimpooza kwa kumwambia “pole matroni nilipitiwa tu si unajua sijafanya siku nyingi”.

“Weeh koma usiniambie kupitiwa mimi sijui hujafanya siku nyingi inamana huyajui madhara ya unachotaka kukifanya eeh?”

“Wataka uniachie mimba halafu nitaipeleka wapi sasa unajua ni hatari kiasi gani?” aliendelea kulalamika Matron Anna.

Aliendelea kuongea kwa sauti ya kibabe ila ya chini chini “Vuta picha nimepata mimba mi ntafukuzwa ntarudi mtaani wewe utabaki hapahapa na hata kama ukirudi nyumbani kwenu wewe ni mujibu wa sheria huna cha kupoteza mimi je? acha ujinga wako bana”.

Nilimtuliza na kumwambia “Basi matroni yake nimekuelewa si yaishe jamani”.

Baada ya kumwambia hivyo ikaja sauti ya chumbani tena kitandani kabisa ikisema “yaishe nini ole wako urudie tena utanijua mi nnani”.

Nikamwambia “mnnh nawewe humuui nyoka akafa si nimekwambia nshakuelewa sirudii tena mpenzi wangu yaishe basi”.

Baada ya maneno hayo asali nilimkumbatia na kumpiga busu ambalo lilifanya tumsikie mtu akiongea “Aah shoga angu unabebika mwenyewe” nafikiri alikuwa akihisi kuwa matroni anaongea na simu.

Matroni alinisukuma kutoka kwenye kumbatio hilo na kuniambia “Embu toka bana acha ujinga haya vaa tuondoke”.

Nilijaribu kumkazia matroni nikimshinikiza irudiwe😆 ila nayeye alikaza vilevile na kuniambia tutafanya siku nyingine maana muda umekwenda na watu washaanza kurudi.

Nilipoendelea kuwa king’ang’anizi aliniambia kuwa nikiendelea kuwepo hapo mpaka muda ambao wengine watakuwa wamerudi basi atanikataa sitoamini na nitajua mwenyewe niondokaje.

Ilinibidi nikubaliane naye hivyo basi akanipamba kama mwanzo tukaondoka mitaa hiyo ambayo nilikuwa nikiiona kama bustani ya Edeni.

Tulipofanikiwa kutoka kwenye mipaka ya MAHANGA hayo ya MADAWILI nikaanza kusaula kimoja kimoja na kumpatia mapambo yake kisha tukaagana kila mtu akashika njia yake.

Asubuhi kulipokucha baada ya usafi tulikusanyika UWANJA WA DAMU ambako mazingira yalikuwa ni yaleyale ya kutishana kama siku zote.

Walikuwepo BAKABAKA wa kutosha na KARANGA chache ambao walikuwa ni makarani na askari wa zamu kumbe bwana zoezi lilikuwa ni kukusanya simu tulipoambiwa hivyo nafsi zilipata ahueni hatimaye zikatulizana.

Kila mwenye simu yake alitakiwa kuikusanya kwa karani wake ambaye alikuwa na sanduku maalumu la kuhifadhia mali hizo.

Wenye simu zao walipewa karatasi wakaandika majina yao na aina ya simu kisha wakagandisha na soltape wakapanga foleni na kuzikusanya kwa karani ambaye aliorodhesha majina yao na aina ya simu kwenye daftari kisha wakazikabidhisha na mwisho wa siku tukawa saresare.


Zoezi hilo liliendelea huku sisi wengine tukiwazoom kama ilivyokuwa U.S.A kwenye Berlin Conference.

Kiuhalisia ni kwamba tulistahili kupewa UTAWALA tukalale zetu HANGANI maana sisi tusiokuwa na simu hakuna kilichotuhusu kabisa ikizingatiwa usiku uliopita wengine tulikuwa tukiiwakilisha KOMBANIA na OP kwa ujumla💪😂.

Zoezi hilo lilitembea mpaka mishale ya saa tano maana hata ule muda wetu wa MZABUNI ulipita.

Baada ya zoezi hilo kukamilika walituruhusu na kutupatia muda upatao nusu saa kwa ajili ya kunywa chai huku wakatusisitiza saa sita ndani ya alama tulitakiwa wote kuenea UWANJA WA DAMU.

Tukiwa bombani tunakunywa maji SM hawakuacha kutuambia “WAZALENDO msionje maji yanyweni mpaka mioyo ielee maana leo ndio leo”.

Kauli hizo ziliifanya mioyo yetu kwenda kasi mithili ya treni za sgr tofauti na kawaida haswa ukijumlisha msisitizo wa kuwahi tuliopewa na makamanda tukiwa KOMBANIA ila tulijipa moyo kuwa ni kawaida yao kututisha huenda labda kukawa na zoezi lingine la tofauti kabisaa. ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,


Mwisho wa msimu wa pili wa simulizi ya MAISHA YA DEPO.🔚

Ndugu zangu mtoto wa faza Alfagems ndugu yangu MombaDier kabwela wa kutupwa Poor boy msaka noti Kacheda mjasiliamali mamaa wa ukweli realMamy dada mwenye NICE zake Numbisa😅
Antonio de Guzman jamaa wa kisiwani Greenish Island Mwamba Mr consolation mzee wa mapokezi Aiylan wasalan mzee wa vito dorge na mwanangu mmwaga noti
moneytalk Kujeni huku tumalizie kilichobaki.

Njooni tujaadili ni kipi mlichokipenda, kilichochukiza na tuambizane ni kipi cha kuboresha.

Naomba kuwasilisha, tukutane msimu wa tatu. 🔜

 
Hahaha! Ngurutu kwenye uandishi uko vzuri,No wonder ulkua HGL….Otherwise unanikumbusha enzi zangu Jkt mgambo Tanga….sema mimi nilkua Doja wa demo!! Acha nisubir season 3 ya six week!!😀😀 Nakymbuka ndani ya six week ngurutu walkua wanalala usingz wa buku 2 kwenye mvua..
 
😃😃ulikuwa op gani askari wa akiba
 
Binafsi nimevutiwa na vingi sana mkuu
1. Uandishi mzuri unaofuata kanuni za uandishi.
2. Mpangilio wa matukio, ni wa moja kwa moja. Ni rahisi sana kwa msomaji kujua kinachoendelea mbeleni.
3. Ubunifu/usanifu wa mwandishi. Mkuu hapa pokea maua yako. Uko vizuri sana ktk kueka vionjo binafsi.
4. Japo mimi nlikataa kwenda jeshini lakini napenda simulizi kutoka huko.....

Mengine nawapa nafasi na wengineo watuletee maoni yao.......
 
kuruta uko vizuri kiuandishi na usimuliaji,staki kusema mengi malizia kwanza
 
Umeniudhi sana. Kitumbua cha Linda unataka akile nani. Yaani Linda ameteseka sana.

Nimevutwa sana kwa namna unavympenda yule dem wakati hana tym nawewe.. unatseka kwenda kwa matron kula kinena chenye masharti....

Tete story acha udaku
 
Sana mkuu, simulizi iko poa sanaaaa, yan full burudan ukikaa kidg unapata song la jeshi yan full shangwe,
Congratulations, na mungu akutie nguvu soon msimu wa tatu ukuje apa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…