Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Mkulima mzuri haswa namuona pale chimala.
Pesa haiangalii sura.joti anaendelea kuvaa magauni yake hao wengine sijui wapo wapi
Joti havai magauni utachekwa.. mwenzio anaishi mjini kwa pesa za DSTV na TIGO.. amka acha majungumtoto wa kiume
 
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?

Unajuaje kama kwao huko huwa anatoa msaada!??Halafu pia kulipia 5ml siyo issue si pesa zake!???iliandikwa wapi ni za wanakijiji wa kijijini kwake!?Hizo ni chuki binafsi tu...acheni ale maisha coz kazitafuta na anazitafuta yeye na kwa ajili yake na familia yake na si kijiji.
 
hivi wale wengine....nao ina maana walikuwa wanasafiria nyotaa za masanja,joti na masanja...??
 
ha haa...nimetaka kusema kitu lkn kimeishia kwenye ``lips``...hv mku unajua mtu anaweza kuwa na maisha mazuri lkn bado akawa na akili na roho za kimasikini?,kuna mwingine pia anaweza asiwe na maisha mazuri lkn akawa na roho na akili za kitajiri....sijui ni mm tu naliona hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…