Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Mimi nafikiri mtu kama ana maisha yake na hatunyimi pumzi kwanini tuwe concerned anavyoishi wakati hatumchangii chochote. Unajua wengi wanasahau maisha yao binafsi wanahangaika kutoa kasoro kwenye maisha ya wengine. Hiki kitu sikifagilii. Yaani mtu anakuwa so opinionated of how some one should live their lives. Unakuta mfano mtu anamtukana Gigy Money anasema Gigy money anakaa uchi au Gigy money malaya lakini ata the same time huyo nayo ana machafu yake anafanya ila yupo rahisi kuwahukumu wengine. Tanzania tuna unafiki wa kutoka tuonekane wema machoni kwa wengine huku tunafanya mabaya kwenye giza..Halafu tunakuwa wa kwanza kuwanyoonshea wengine vidole wajirekebishe..
 
Ni wewe tu
 
Time will tell!
 
ni ushamba tu huo. hivi Mengi au Bhakresa wangekuwa wanaonyesha maisha yao yote kama hawa wajinga, tungelala usingizi? wenye pesa na wana akili wametulia tu, ila limbukeni na wasio na akili wanapenda kweli kujionyesha.
 
Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Hako kaushamba ndo kamekufanya umjue wewe ... We mjanja baki na ujanja wako" na aliwaambia mtaishia kupiga mipicha samaki samaki , badala ya kujishugulisha....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…