Maisha ya Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja mkandamizaji na waliokuwa comedian wenzake

Nani kakwambia mr bean ni mshamba ?
Humjui vizuri yule mzee
Ana masters ya mechanical kama sio electrucal engineerig, na maisha yake ni very private, ana vitu vingi ni tajiri sana ila haoneshi kila kitu back to the topic nimesoma mabishano yenu humu
Ila ukweli utabaki kua masanja ni mshamba tena sana
Marriage life yake ana i expose sana hata vitu vingine private hata hashtag zake za kishamba
Binafsi simuonei wivu na nina ndoto za kufikia mafanikio yake (regardless kuuza ngada au vipi) ila yule jamaa apunguze ushamba
Mbna kina mpoki wanaonesha gari zao ila hatujawaita washamba ? Yani in short ukimuangalia masanja ni mshamba mkubwa sanaaa
Na ngoja aje achapiwe yule mkewe

All in all the guy is so creative
 
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
hyo plate number hailipiwi kwa mwaka... kodi yake unalipa milioni 10 kila baada ya miaka mitatu (3)

hapo zamani 2016 kurudi nyuma kodi ya private number plate ilikuwa ni milioni 5 kila baada ya miakq mitatu ila ikafanyiwa marekebisha na kuzidishwa kwa asilimi mia moja ndyo ikawa milion 10 kila baada ya miaka 3
 
Huu Uzi nilifikiri umefika mwisho kumbe unaendelea
 
Hakuna utajiri usio na ukafiri nyuma yake, chamsingi watu wafanye kazi kwabidii wachangamkie fursa zinapopatikana, kuna muda inabidi uweke usomi pembeni kwa muda upambane kama mtu wa kawaida.

Tufanye kazi kulingana na mazingira yanavyotaka, kama ni porini ingia kiporipori, kama ni shamba ingia kishamba shamba na mengine mengi.

Shida nyingine ni elimu ya kwenye makaratasi, wasomi wanaogopa risk analysis wakati wasio na elimu hawajali hilo wao wanazama bila hofu yoyote.

Nb; unaweza kuvuka mto wenye mamba bila woga kama hukutarifiwa kabla, ila ukishaambiwa hutoweza kuvuka,
 
Utajiri unasiri nyingi!!!mambo yamejificha.Kama kale kasanii ka Shetta.
Shetta nae kawa tajiri naw .?
Basi udananda unalipa naw mana jamaa anahang out na watu wenye mawe kidogo akina king solo.
 
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Hii post umeandika kwa kutumia smartphone ya karibu TSh.100,000/= au zaidi! Na unaweka bando la wastani wa 500tsh kwa siku! Ungepeleka madaftari na kalamu kwa watoto yatima au masikini kijijini kwenu si wangekushukuru sana?
 
Unajua masanja alianzaga kusifia mapooudaaa toka anatangaza commedy ukiangalia clip zilie ni dhahiri kuwa ngada ndio zimefanya afanikiwe hakuna mkulima mwenye mafanikio ya haraka kama masanja yaani unalima mara moja unapata BMW X6 SERIES kamwe haitatokea
Mimi mwenyewe mkulima na bado napata taabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…