WAKU-GOOGLE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 950
- 628
Pesa yake hutakiwi kumpangia matumizi labda kama anafanya maovu kupitia pesa yake.Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Yuko wap?Yule mrema? Anaitwa Jose mtoto wa bi shamba
Nani kakwambia Masanja ni Msukuma, kumbe na wewe ni mzee wa kukaririMsukuma haishagi ushamba mkuu.
Masanja sio msukumaMsukuma haishagi ushamba mkuu.
hatari sana! Mkuu lazima ufaham kuwa kila mmoja ana bahati yake. Mbona wapo wasomi wanapesa nyingi sana. Ishu ni kujituma bila ya kujali elimu yako. Usikate tamaaa na si lazma uwe na pesa kama za Masanja au Joti . Omba uwe na maisha mazuri tuKatupiga sana gap sisi tunaotambia Vyeti vyetu na GPA zetu kubwa kutwa humu mitandaoni na mitaani tukisaidiwa na tu vi degree, vi masters na vi phd vyetu na uchungu unakuja zaidi kwamba Jamaa hana hata Kidato / Elimu kivile ila katusua na anatuburuza kweli.
Shikamoo Masanja!
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Analipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Yule aliyechangiwa hta cjuiIvi yuld mgonjwa aliponaaga??
Na kujipodoa saloonMkulima mzuri haswa namuona pale chimala.
Pesa haiangalii sura.joti anaendelea kuvaa magauni yake hao wengine sijui wapo wapi
Ukiwa na mtaji mkubwa kilimo kinalipa sn, ila km huna mtaji utaona hakilipi na utachukua mda mtefu kutoka kimaisha.Kilimo hakilipi hivyo jamani tusidanganyane
Ila mie naona kama mtu ameweza kutengeneza hela na anaishi maisha mazuri kwa kuitendea haki hela sidhani kama ni mshamba...nadhani tumelelewa kwenye tamaduni za ukitembea barabarani huku unakunywa juice kwa mrija au kufanya mambo yanayoendana na hayo unachukulia kama unapenda kujionyesha na wengine watakuita mshamba though ukila muwa na karanga utaonekana normalPesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
Mkuu kutoa ni moyo hata wewe unaweza ukapeleka mchango wako hata kama ni buku 10, tatizo letu tunapenda kupangia matumizi pesa za watu...hata wewe nina imani una kitu chako hata kama ni cha bei rahisi kwa mujibu wa wewe kuna mwingine atakushangaa kwa kusema huyu jamaa anavaa shati la buku 10 wakati yapo kibao ya buku tatu tatu mnadani na hiyo ela si bora angenunua unga apeleke kituo cha watoto yatimaAnalipia plate no 5M kwa mwaka! angepeleka madawati kijijini kwao watu si wangemshukuru sana?
Ushamba mwingine ni fursa eti.Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji13]Mkuu huenda hako `` kaushamba``` ndo kana mafanya awe na hela
Ushamba mwingine ni fursa eti.
Kipato cha wajanja kipo limited na baadhi ya mazingira, lkn mshamba yuko huru
Tunapenda sana kupangia watu matumizi alafu sijui nani alituambia kwamba mtu akiwa na milioni kadhaa ndo anatakiwa awe mtu wa kugawa fedha wakati hata sie hoehae tunatakiwa tutoe kidogo tulichonacho pia hata ikifika tunazo nyingi ni mwendelezoSio kwa mwaka, ni miaka 3, Pesa aitafute kwa shida halafu ww umpangie matumizi? Ww ndugu zako wapo wenye pesa kwani wameisha kusaidia? Yesu alisema maskini tutakuwanao siku zote[emoji35] [emoji35]
Kaushamba ni kadogo mkuu,ni jiushamba haswa maana hizo swaga ni za mtu anayebahatisha.Pesa anayo ila bado ana kaushamba fulani hivi hakajaisha bado