Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

Hahaha huddah hawez jibu dm,kumpata demu kama yule labda umtafute ukiwa na kazi maalumu
 
Aisee ule mtandao balaa sana, ila msitishike na mapichapicha hayo wengi wao hata siyo maisha yao halisi.
Kule nenda kutoa stress tu basis
Hahaa nakubali Mzee mwenzngu
 
mtu mwenye asili kutoka nchi fulani anayeishi na kufanya mambo yake nchi nyingine mfano Mtanzania anayeishi marekani au walowezi kwa tafsiri rahisi
Asante Mkuu, umenitoa ujinga!, bbade tumewekewa Majibu tayari!
 
Mimi mwenyewe nashangaaga pesa za bata na mavazi kila siku wanatoa wapi...?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenzako ndio wanapigwagwa ivyo ivyo
 
Kama mie nilivyo humu JF aiseee ni mdada/mmama wa kitajiri sana najua kizungu balaa

Ila maisha halisi utanikimbia kwa kushangaa ndo huyu jina kubwa JF
Kuna mama yangu mmoja hata la7 hajamaliza na ninajua ni mburula + kilaza= bashite ila post zake zooote ni za kingerez maana ata kuandikaga hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…