Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

😀😀😀
 
Hahaaa umenikimbusha miezi kadhaa ilopita aliweka dau la mahali kwa anaetaka kumuoa nilazma atoe ML500 baada ya hapo sikupata feedback yoyote
Uoe mtu ambaye 60% ya mwili wake feki kwa hilo dau. Sina hio hela ila hata ningekuwa nazo kama Zuckerberg sichuki Diva
 
Aiseeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona story umekatisha
 
Mkuu sio insta tu hata JF siku hizi maisha ya hapa noma sana.

Kila mtu ni dingoo ana kimango chakutosha, kila mtu hapa JF anamilikia dinga kali kali.

Wengi hapa JF ni diaspora wako mambele huko wanafanya maisha hata ya kubeba boksi.
Lakini hata sie mahausiboi tunadunda JF
 
Jf ni madon tupu, wasomi wa UD, GPA kubwakubwa, wote wanajua mapenzi, hamna mwenye tecno woye wanaongea madini tupu mkuu. "za kuambiwa changanya na zako"

Katika vitu ambavyo sijawahi kuficha ni matokeo ya shule, huwa nashangaa sana watu wanaficha hata ningepata 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…