Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

Mimi nilikuwa simfahamu demu mmoja wa Kenya anaitwa Huddah..

Sasa nikiwa naperuzi inst nikaona picha za demu mkali anapost, nikamfollow nikacheck picha zake aisee demu yupo bomba kichizi, nika m dm akajibu fresh kwa kuwa alikua alikuwa demu mkali akaniambia nipo wapi nikafake ili nimpate nikamjibu nipe State, akaniuliza wapi huko ni mkoa gani, dah nikasema mbona demu kama mkali halafu mjanja hajui State ni wapi, nikamwambia nipo Unyamwezi akaniambia kumbe wewe upo Tabora, akaniambia nisimsumbue tena, dah nikamwambia hapana nipo Unitee State Of America (Marekani) akajichekesha akaniambia utarudi lini nikamjibu kesho kutwa akaniambia nikirudi nimletee zawadi ya Iphone 5 nikamwambia poa,

Sasa kuja kudadisi nikaja nikangundua yule pimbi alikuwa anatumia picha za Huddah wa kenya, siku nimemwambia nipo bongo tukutane, akaniambia tukutane cocobeach, nilipo enda kumwona demu mwenye coco dah..
😀😀😀
 
Hahaaa umenikimbusha miezi kadhaa ilopita aliweka dau la mahali kwa anaetaka kumuoa nilazma atoe ML500 baada ya hapo sikupata feedback yoyote
Uoe mtu ambaye 60% ya mwili wake feki kwa hilo dau. Sina hio hela ila hata ningekuwa nazo kama Zuckerberg sichuki Diva
 
Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili ya Oxford iliyofanyiwa marejeo mwaka 2018 tolea namba 1 inatafsiri neno DIASPORA kuwa ni Raia aishie nje ya nchi yake kwa kubeba boksi kwenye masupamaketi, kuendesha matreka mashambani, kuzibua mitaro, kuoa/kuolewa na vikongwe wa nchi aliyopo, kujiuza (Kuwa kahaba wa kike au kiume), kufanya kazi za ndani (housemaid), na kazi zingine za kipato cha chini ambacho raia wa nchi aliyopo ni aibu kuzifanya.
Aiseeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mimi nilikuwa simfahamu demu mmoja wa Kenya anaitwa Huddah..

Sasa nikiwa naperuzi inst nikaona picha za demu mkali anapost, nikamfollow nikacheck picha zake aisee demu yupo bomba kichizi, nika m dm akajibu fresh kwa kuwa alikua alikuwa demu mkali akaniambia nipo wapi nikafake ili nimpate nikamjibu nipe State, akaniuliza wapi huko ni mkoa gani, dah nikasema mbona demu kama mkali halafu mjanja hajui State ni wapi, nikamwambia nipo Unyamwezi akaniambia kumbe wewe upo Tabora, akaniambia nisimsumbue tena, dah nikamwambia hapana nipo Unitee State Of America (Marekani) akajichekesha akaniambia utarudi lini nikamjibu kesho kutwa akaniambia nikirudi nimletee zawadi ya Iphone 5 nikamwambia poa,

Sasa kuja kudadisi nikaja nikangundua yule pimbi alikuwa anatumia picha za Huddah wa kenya, siku nimemwambia nipo bongo tukutane, akaniambia tukutane cocobeach, nilipo enda kumwona demu mwenye coco dah..
Naona story umekatisha
 
Mkuu sio insta tu hata JF siku hizi maisha ya hapa noma sana.

Kila mtu ni dingoo ana kimango chakutosha, kila mtu hapa JF anamilikia dinga kali kali.

Wengi hapa JF ni diaspora wako mambele huko wanafanya maisha hata ya kubeba boksi.
Lakini hata sie mahausiboi tunadunda JF
 
Jf ni madon tupu, wasomi wa UD, GPA kubwakubwa, wote wanajua mapenzi, hamna mwenye tecno woye wanaongea madini tupu mkuu. "za kuambiwa changanya na zako"

Katika vitu ambavyo sijawahi kuficha ni matokeo ya shule, huwa nashangaa sana watu wanaficha hata ningepata 20
 
Back
Top Bottom