Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

Maisha ya Instagram ni ya uongo kinoma

Fala sana wewe nitaomba lifti mie
Siku nikinunua Boda boda haki ya nani nakuja kuanzisha uzi humu, msipo changia nacomment mwenyewe, yan kila nusu dk upo ON TOP, nshagundua Haya maisha bila sifa huchomoi, kijana mdg lakn kila ninaemfuata PM hanijui lakn anamiamkia, Shwain Jf mnadharau sana nyie, kwanza inaonesha nitakua namaisha mazur sana mana kila siku naota ninaendesha boda boda yangu tarajiwa ya KINGLION
 
Hahaaa umenikimbusha miezi kadhaa ilopita aliweka dau la mahali kwa anaetaka kumuoa nilazma atoe ML500 baada ya hapo sikupata feedback yoyote
Feedback ana gonjwa linahitaji tiba ya 15m tu hana anaomba michango shenzi taipu.
 
Mtu anaweza akapiga picha pembeni ya gari ambalo si lake na kisha kupost hima! Wanachofanya ni kuziba plate number tu [emoji23][emoji23]
 
Yaani kule ukiwa na roho ndogo unaweza kufa ghafla

Insta wadada wote weupe na wote matajiri hakuna masikini kabisa kama sie hapa
lakini insta babe ww naamini hufake bhana maana juzi kati my insta shunie kapost yupo joburg anakula life 😂
 
Hahaaa umenikimbusha miezi kadhaa ilopita aliweka dau la mahali kwa anaetaka kumuoa nilazma atoe ML500 baada ya hapo sikupata feedback yoyote
mwezi uliopita alikuwa analia lia mtandaoni achangiwe USD 7000 akapandikizwe mimba state maana ana matatizo hawezi kiconcive kawaida

nikasema hiki kidada kiduwanzi kweli sasa mbwembwe zote kumbe anashindwa kupata hata usd 7000 😂😂😂
 
lakini insta babe ww naamini hufake bhana maana juzi kati my insta shunie kapost yupo joburg anakula life [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Insta babe nimecheka mpaka nimekaa watu wananishangaa

Shunie mm sijawahi fika uko nikisafiri nipo tanga kwetu kweli nimeamini akutukanaye hakuchagulii tusi
 
😂😂😂😂😂 insta babe bhana... tuseme yule aliyepost yupo south sio ww 😂😂
 
Kuna dem namfollow insta ni athlete anapiga gym balaa na video kibao mara karuka toka ghorofani ni maarufu duniani kwa mambo hayo,
Siku hiyo hamad nikakutana nae usafiri wetu huu wa mwakyembe Ulaya.
Ikawa we nakujua, na yy aah sura si ngeni we nani?, mm search flani kwenye follower wako
Hadithi isiwe nyingi mpaka leo natafuna mzigo kimya kimya na umaarufu wake, mkataba ni kulambana kisiri.
Mi nna bibi nae ana bwana so hapo tukikutana ni kubanjuana tu alafu kila mtu kivyake
 
Hueleweki porojo dot com.
 
Anatumiatjinagani
 
Siku nikinunua Boda boda haki ya nani nakuja kuanzisha uzi humu, msipo changia nacomment mwenyewe, yan kila nusu dk upo ON TOP, nshagundua Haya maisha bila sifa huchomoi, kijana mdg lakn kila ninaemfuata PM hanijui lakn anamiamkia, Shwain Jf mnadharau sana nyie, kwanza inaonesha nitakua namaisha mazur sana mana kila siku naota ninaendesha boda boda yangu tarajiwa ya KINGLION

Huko Insta wanasema povu kama lotree
 
Back
Top Bottom