Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku nikinunua Boda boda haki ya nani nakuja kuanzisha uzi humu, msipo changia nacomment mwenyewe, yan kila nusu dk upo ON TOP, nshagundua Haya maisha bila sifa huchomoi, kijana mdg lakn kila ninaemfuata PM hanijui lakn anamiamkia, Shwain Jf mnadharau sana nyie, kwanza inaonesha nitakua namaisha mazur sana mana kila siku naota ninaendesha boda boda yangu tarajiwa ya KINGLION
ni chama cha kisiasa maarufu hapa tanzaniaHili neno diaspora lina maana gani Mkuu?
hahaaaaa boda hata nikiwa nimevuta bangi sinunui, halaf umenikimbia nakuchora tuuFala sana wewe nitaomba lifti mie
Feedback ana gonjwa linahitaji tiba ya 15m tu hana anaomba michango shenzi taipu.Hahaaa umenikimbusha miezi kadhaa ilopita aliweka dau la mahali kwa anaetaka kumuoa nilazma atoe ML500 baada ya hapo sikupata feedback yoyote
Bora Da Mange anaishi Santa Monica, CA, haka ni kaujiko tosha kwetu waoga vumbi.Mange mwenyew kama mzungu wa mbali anaeishi kisupa staa.... Hizo picha dah
lakini insta babe ww naamini hufake bhana maana juzi kati my insta shunie kapost yupo joburg anakula life 😂Yaani kule ukiwa na roho ndogo unaweza kufa ghafla
Insta wadada wote weupe na wote matajiri hakuna masikini kabisa kama sie hapa
mwezi uliopita alikuwa analia lia mtandaoni achangiwe USD 7000 akapandikizwe mimba state maana ana matatizo hawezi kiconcive kawaidaHahaaa umenikimbusha miezi kadhaa ilopita aliweka dau la mahali kwa anaetaka kumuoa nilazma atoe ML500 baada ya hapo sikupata feedback yoyote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Insta babe nimecheka mpaka nimekaa watu wananishangaalakini insta babe ww naamini hufake bhana maana juzi kati my insta shunie kapost yupo joburg anakula life [emoji23]
😂😂😂😂😂 insta babe bhana... tuseme yule aliyepost yupo south sio ww 😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Insta babe nimecheka mpaka nimekaa watu wananishangaa
Shunie mm sijawahi fika uko nikisafiri nipo tanga kwetu kweli nimeamini akutukanaye hakuchagulii tusi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]"Aisee siwezi kuwa maskini online na offline.. tuheshimiane upande mmoja japo ni sawa na ndoto" by ~ instagram user.
Hueleweki porojo dot com.Kuna dem namfollow insta ni athlete anapiga gym balaa na video kibao mara karuka toka ghorofani ni maarufu duniani kwa mambo hayo,
Siku hiyo hamad nikakutana nae usafiri wetu huu wa mwakyembe Ulaya.
Ikawa we nakujua, na yy aah sura si ngeni we nani?, mm search flani kwenye follower wako
Hadithi isiwe nyingi mpaka leo natafuna mzigo kimya kimya na umaarufu wake, mkataba ni kulambana kisiri.
Mi nna bibi nae ana bwana so hapo tukikutana ni kubanjuana tu alafu kila mtu kivyake
AnatumiatjinaganiKuna dem namfollow insta ni athlete anapiga gym balaa na video kibao mara karuka toka ghorofani ni maarufu duniani kwa mambo hayo,
Siku hiyo hamad nikakutana nae usafiri wetu huu wa mwakyembe Ulaya.
Ikawa we nakujua, na yy aah sura si ngeni we nani?, mm search flani kwenye follower wako
Hadithi isiwe nyingi mpaka leo natafuna mzigo kimya kimya na umaarufu wake, mkataba ni kulambana kisiri.
Mi nna bibi nae ana bwana so hapo tukikutana ni kubanjuana tu alafu kila mtu kivyake
kalale we kikongweHueleweki porojo dot com.
fanya kazi wewe acha porojo
Nimejuta,sitatamani binti kupitia social media! - JamiiForums
Tayari mirejesho imeanza kuja.
Kumbe ni kweli mkuu [emoji125] [emoji125] [emoji125]