Maisha ya JF, Nani kakuzidi nini? Nawe umetuzidi nini?

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Wakuu bila shaka mpo poah!

Leo nimeamua kufunguka kitu ninachojiamini nacho humu JF ambacho nawashinda watu wote.
Katika jambo hili nimeshindikana, mimi ni championea ambaye kwa sasa sina mshindani. πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰




Najua wapo walionizidi humu kutoka Nduki, Miss Zomboko, huyu akitoa uzia au habari anatoka nduki, mbio zake sio za nchi hii, hutoa habari bila kukoment

Najua wapo walionizidi humu kuwatetea wanawake hata wafanye nini, Karma, huyu tumeshapiganaga sana hasa kwenye mada za bikra na ndoa.

Sasa jambo ambalo Mimi wote humu hamuniwezi, nimeshindikana nalo ni moja, nalo ni KUZAMA PM ZA WADADA.
Hakuna ID humu inayojitambulisha kama jinsia ya kike ambayo sijaizama PM. Kuna vidada mshenzi vimejifanya vime-block pm zao ili Mhuni nisingie lakini nimeandika barua Kwenye UONGOZI wa JF kuwa wanipe ridhaa ya kuingia katika Pm za hao members. Nitaiweka hiyo barua hapa siku zijazo.

Mimi ndiye naongoza kuingia PM za wadada humu, Mzee wa PM, Tongoza Tongoza, Penda penda, hayo nimewazidi.
Kama kuna Mdada humu sijazama PM yake ajiulize mara mbili mbili, huenda sio mzuri na hana lolote.

Je wewe humu JF, nani kakuzidi nini, Na wewe unauhakika umetuzidi Nini?
Funguka

Bikra Matter's
 
jembe killo sio jembe kilio kakuzidi likes
 
Kiduku lilo Tajiri wa Jf nae kakuzidi
 
Mimi humu nimewazidi wengi kwa kuwa na wake wengi tu.

Huwa najiona bonge la bingwa.
 
Sheer name dropping.

Usilitaje jina la Kiranga bure.

Nitaanza kutoza ushuru kwa kila anayelitaja jina hili bure, kama mashine ya TRA.
 
Sheer name dropping.

Usilitaje jina la Kiranga bure.

Nitaanza kutoza ushuru kwa kila anayelitaja jina hili bure, kama mashine ya TRA.

Wewe hata kortini umeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…