Wakuu bila shaka mpo poah!
Leo nimeamua kufunguka kitu ninachojiamini nacho humu JF ambacho nawashinda watu wote.
Katika jambo hili nimeshindikana, mimi ni championea ambaye kwa sasa sina mshindani. ๐๐๐
Sasa jambo ambalo Mimi wote humu hamuniwezi, nimeshindikana nalo ni moja, nalo ni KUZAMA PM ZA WADADA.
Hakuna ID humu inayojitambulisha kama jinsia ya kike ambayo sijaizama PM. Kuna vidada mshenzi vimejifanya vime-block pm zao ili Mhuni nisingie lakini nimeandika barua Kwenye UONGOZI wa JF kuwa wanipe ridhaa ya kuingia katika Pm za hao members. Nitaiweka hiyo barua hapa siku zijazo.
Mimi ndiye naongoza kuingia PM za wadada humu, Mzee wa PM, Tongoza Tongoza, Penda penda, hayo nimewazidi.
Kama kuna Mdada humu sijazama PM yake ajiulize mara mbili mbili, huenda sio mzuri na hana lolote.
Je wewe humu JF, nani kakuzidi nini, Na wewe unauhakika umetuzidi Nini?
Funguka
Bikra Matter's