Maisha ya JF, Nani kakuzidi nini? Nawe umetuzidi nini?

Maisha ya JF, Nani kakuzidi nini? Nawe umetuzidi nini?

For the first time 2019 nafungua Acc JF nilikua sielewi elewi basi nikawa na'PM Wanawake humu, kitu ambacho Nimekichukua kweli, najiona Nilikua Mpumbavu Sana aaarrgghh [emoji3][emoji3][emoji3]

Usinikumbushe, Mimi nimetongoza wote humu, huwa wananidere tuu na kunivungia


Ugeni ni ushamba asee 🤣 🤣 🤣
 
Kuwa na wake wengi officially si jambo dogo mzee, hao watakao kuja watakuwa na vimada ila wanajifariji kuwa ni wake zao.

Unatambo mkuu.
Ni kweli, mimi kwa hilo sikuwezi
 
Hahahahhahah hawa mods ni hatarii sikuizi wanakula vichwa we acha tuu sijui wanataka kubaki pekayao
Hivi unamkumbuka
truthone alitukana jf akala ban moja matata kisa mods wamemuuzi aaa

Mods achana nao, nimeingia hadi PM zao
 
Wakuu bila shaka mpo poah!

Leo nimeamua kufunguka kitu ninachojiamini nacho humu JF ambacho nawashinda watu wote.
Katika jambo hili nimeshindikana, mimi ni championea ambaye kwa sasa sina mshindani. 😉😉😉











Sasa jambo ambalo Mimi wote humu hamuniwezi, nimeshindikana nalo ni moja, nalo ni KUZAMA PM ZA WADADA.
Hakuna ID humu inayojitambulisha kama jinsia ya kike ambayo sijaizama PM. Kuna vidada mshenzi vimejifanya vime-block pm zao ili Mhuni nisingie lakini nimeandika barua Kwenye UONGOZI wa JF kuwa wanipe ridhaa ya kuingia katika Pm za hao members. Nitaiweka hiyo barua hapa siku zijazo.

Mimi ndiye naongoza kuingia PM za wadada humu, Mzee wa PM, Tongoza Tongoza, Penda penda, hayo nimewazidi.
Kama kuna Mdada humu sijazama PM yake ajiulize mara mbili mbili, huenda sio mzuri na hana lolote.

Je wewe humu JF, nani kakuzidi nini, Na wewe unauhakika umetuzidi Nini?
Funguka

Bikra Matter's
Weka screen shot za PM mbili tu za wadada kuniaminisha, nikupe msururu wangu, mdada ambaye atasema hajawahi kuniona PM yake ujue ni mgeni au anajishaua tu 😎
 
Weka screen shot za PM mbili tu za wadada kuniaminisha, nikupe msururu wangu, mdada ambaye atasema hajawahi kuniona PM yake ujue ni mgeni au anajishaua tu 😎

Mkuu unataka battle? 🤣 🤣 🤣

Unajua nikianza humu hakuna wa kuzima
 
Kuna vya kuamini na kuna vya kujua boss.

Anyway, hutaki kujua Mungu Yupo?

Nishakwambia sitaki kuamini, nataka kujua. Unanilazimisha?

Swali lako linatokana na nini?

Kipi kimekupa na kuhalalisha swali hilo?

Bei ya nyama ya nguruwe China leo ni Yuan ngapi?
 
Back
Top Bottom