Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Umeongea Point sanaKipindi cha zamani, ajira zilikuwa ziko njenje, ilikuwa vigumu kumkuta kijana anabeti, nowadays ajira hamna, ila pia vijana hawajajiandaa na circumstances za kujiajiri kwasababu wengi hawajatoka kwenye familia ambazo ziliamini kwenye kujiajiri, so wanakuwa hawana choice zaidi ya kubeti licha ya wengine kubeti ili waongeze vipato wakiamini mshahara haujitoshelezi na pia kutokuwa na experience na biashara na kuogopa kupoteza.
Mkuu betting ni kazi ngumu sana inayotumia maarifa mengi ili kukuza mtaji, vijana wanashinda siku nzima wakifuatilia muenendo wa timu mbali mbali ili kufanya ubashiri sahihi, hawa vijana wanaweza kuajiriwa TMA na kufanya ubashiri wa hali ya hewa kwa ufanisi mkubwa.Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi
Uzuri ni kuwa hamna aliyetajirika kupitia kubet hivyo wanatusaidia sana kutuachia wigo mpana zaidi wa kutajirika kupitia rasilimali tofauti za nchi.Vijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi ... Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari!!.
Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi wanafanya tu ilimradi !!!.
Serikali ya Ovyo nayo inajisifu, Et Kamari imetengeneza Ajira asilimia !!!!!!!!!!!!! .
Taifa linazidi Kudidimia, Taifa linaenda kua na Kizazi ambacho Ubongo wake haunguki, kizazi Cha wasopenda kazi, wavivu wazembe, wenye kupenda Hela ila hawapendi kazi.
Yaan Taifa ambalo Baba ni Mbetishaji, Mama Mbetishaji, watoto Kamari !!!!!....
Kama ni rahisi na wewe beti, upateVijana wakubet na Kamari wenyewe Hawa Cha kujishughulisha Tena na kufanya kazi ... Atashinda Ndani Masaa 24 ni kula, kubet Kamari!!.
Wenye Kazi nao, wamejikuta hawana Juhudi Tena ya kazi zao,kazi wanafanya tu ilimradi !!!.
Serikali ya Ovyo nayo inajisifu, Et Kamari imetengeneza Ajira asilimia !!!!!!!!!!!!! .
Taifa linazidi Kudidimia, Taifa linaenda kua na Kizazi ambacho Ubongo wake haunguki, kizazi Cha wasopenda kazi, wavivu wazembe, wenye kupenda Hela ila hawapendi kazi.
Yaan Taifa ambalo Baba ni Mbetishaji, Mama Mbetishaji, watoto Kamari !!!!!....
😂Mi amateur mkuu
Kwani Kubet kuna shida gani?hii kitu bila serekali kuingilia kati tunaenda pabaya km taifa
wapige marufuku aya matangazo ya kubet yamekuwa mengi mno ndo yanahamasisha watu kubet