Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Bcom.You need to open up.
Umesomea nini, umekwama wapi?
Sasa ndo ufikirie namna ya kupata hicho kitu Cha mfukoni.Bcom.
Ajira nilishasau mda sana kutafuta.
Kuhusu nimekwama wapi sina jibu la kutosheleza ila ubongo umeshindwa kuprocess nifanye nini kupiga hatua nikiwa sina kitu mfukoni.
Nimekosa pesa nimekosa namna ya kujikwamua.Nimekubali hali yangu.
Pole sana kaka.Ni kama gari imestuck.
Sijui cha kufanya nimekubali uhalisia,nimeacha life lifanye linachoweza.
Mkopo unaupata wapi?Sasa ndo ufikirie namna ya kupata hicho kitu Cha mfukoni.
Hapo either urudi kusaka ajira au kutafuta mkopo.
Ngoja tumsikilizie ila yule mwamba nahs hakuwa binadamu halisi,alikuwa na kaushetani fulani.Pole sana kaka.
Tumsikilizie huyu mama mambo mtaani yanaweza yakafunguka ukapata ishu za kupiga ukatoka,ukweli hali mtaani siyo friendly na hii miaka minne jiwe angekuwepo mtafutano ungekuwa siyo mdogo.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ umemifanya nimepaliwa kiongozi daah hii kibokoMimi nina miaka 56 na nipo kwetu hauko peke yako mkuu tunakusapoti
baba aliniambia nimekua nihame nikamwambia labda yeye ndio ahame aende kwao mimi hapa ndio kwetu...
Hongera sanaaa kwa kushtuka mapema. Nininkilikusaidia. Hela ulikuwa nayo ama mindset Yako ilikusaidia kukuongoza?Kumbe ndo mana nilishtuka mapema!
Ila wew Karucee unaongea vyema sana japo jina lako nashindwa kulitamka kwa Kiswhl.. π π π hv ni Karuchee au Karusee au Karukee?
Labda yeye ndio ahame arudi kwao bush πππMimi nina miaka 56 na nipo kwetu hauko peke yako mkuu tunakusapoti
baba aliniambia nimekua nihame nikamwambia labda yeye ndio ahame aende kwao mimi hapa ndio kwetu...
Mama kaona bado 18 ni mapema sana kujiingiza mitaani kuteseka πππtuna safari ndefu sana.
ndiyo maana umri wa kijitegemea umeongezwa kutoka 18 hadi 21.
Mwamba kaua, anadai baba ndio asepe maana ye hapa ndio kwao!π€£π€£π€£π€£π€£π€£ umemifanya nimepaliwa kiongozi daah hii kiboko
vijana tumelala kimtindo.Mama kaona bado 18 ni mapema sana kujiingiza mitaani kuteseka πππ
Hahaha talk is cheap mambo ni different kwa ground! We kama unaamkia mahali from 9-5 nikupe hongera zako bibie! Mie sahizi concetration ni kujenga network hela ziko mbele!Hongera sanaaa kwa kushtuka mapema. Nininkilikusaidia. Hela ulikuwa nayo ama mindset Yako ilikusaidia kukuongoza?
Sababu Extrovert Ukiondoa kucheka cheka kwake anasema lazima uwe na hela kwanza Ili akili ijitegemee. Inakuja kweli?
Jina langu litamke kama Karusiii.
Eeh mambo magumu chief! Mtu anaeongea kizembe natamani nimwambie account zake zisafishwe awe na 0.00 TZS halafu atupwe mkoani ambako hamjui mtu ili uhalisia upatikane!vijana tumelala kimtindo.
Daah nimecheka nimepaliwa bado kidogo nimtemee shemeji yenu bia usoniMwamba kaua, anadai baba ndio asepe maana ye hapa ndio kwao!