Maisha ya Kuigiza: Kajala amiliki simu aina samsung galaxy note 4 ambayo bado haijatoka sokoni

Maisha ya Kuigiza: Kajala amiliki simu aina samsung galaxy note 4 ambayo bado haijatoka sokoni

Kioo cha jamii maana yake nini?
Hili linahitaji mjadala.....
It's logical actually. If you have the processing power to burn following who is posting which phone, you must consider that shyt important enough.

You are following Kajala like some people are following the British royals.

She must be your queen or something.
Am not and i will never be her follower even any Bongo Mavi Artist over my dead body.
Apparently my mind is not weak enough to follow Kajala and bitch about her posts.

Sasa kama kioo cha jamii, na wana followers, na followers wao ndio wanapenda mambo hayo, wewe kinachokusumbua ni nini?
Kinachonisumbuwa kimeletwa hapa JF na haohao followers wao nao wamewachoka kwa kuigiza maisha.

Mimi siwezi kuwa follower wa Bongo Mavi labda unanifananisha, ninaowafollow wanapatikana LinkedIn ambako Kajala hawezi hata kuwa na account maana academicaly ni zero.
 
Hili linahitaji mjadala.....

Am not and i will never be her follower even any Bongo Mavi Artist over my dead body.

Kinachonisumbuwa kimeletwa hapa JF na haohao followers wao nao wamewachoka kwa kuigiza maisha.

Mimi siwezi kuwa follower wa Bongo Mavi labda unanifananisha, ninaowafollow wanapatikana LinkedIn ambako Kajala hawezi hata kuwa na account maana academicaly ni zero.

Sasa povu la nini?

Mtu yuko so beneath you anakusumbua nini unatokwa povu lote hili?
 
Kuna watu bana unakaa unajiuliza hivi wanafuata nini huku jukwaa la maceleb utadhani hawajui kinachoongelewa huku!!!!!!

Jf ina kila idara we pima interest zako zipo jukwaa gani then jikite huko

Humu Jf kuna jukwaa la mainteligencia hadi jukwaa la kupost ngono tu mwanzo mwisho

Guyz tusitake kucomplicate maisha na kupangiana nini cha kujadili as long as kinahusu jukwaa husika

Kama unajiona upo makini sana nenda jukwaa linalokufaa na sio kuanzisha ligi zisizo na kichwa wala miguu
 
Thank you very much, umeongea la maana, kwasababu nakerwa kweli na watu wa namna hii wanaojidai wanataka habari za maana ila najiuliza wanafuata nini kwenye jukwaa hili la ma celebrity??

Wanajiona akili na ni bora kuliko wenzao wakati wao ndio wajinga, huwezi kwenda kwenye strip club ukamuulizia padri.
 
note 4 imetok zamani labda unazungumzia S6
hiyo post ilikua ya 2014 haikuwa imetoka,mchina alishatoa yake.hata sasa note 6 ya mchina iko sokoni,wakati samsung hajui anatoa lini hiyo Samsung note 6.
mpk sasa Note 4 imelala kw dola 1200 usd Europe,ukiambwa bei 300usd kimbia usiulize kituo cha kusimama
 
sasa kama bado haijatoka sokoni kaipata wapi mpaka aigizie we mbururaaaaaaaaaa
 
Kupitia mtandao maarufu wa picha wa kijamii, mwanadada Kajala amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuweka picha ya simu aina ya samsung galaxy note 4 kwenye account yake kuwa anamiliki simu hiyo ilihali simu yenyewe ikiwa bado hata haijaanzwa kuuzwa sehemu yoyote duniani.

Kupitia picha hiyo kajala aliambulia maneno kadhaa ya kashfa toka kwa watu mbalimbali wengi wao wakimtaka aache maisha ya kuigiza.
IMG_20141009_104812.png

Baadhi ya maoni hayo ni:-

“Hahahaha watu ndo wanatoa pre order october 16 ndo ina launched we umeitoa wap wakat bado haijaanzwa kuuzwa!dah!kwel sasa naanza kumin maisha yako ni ya kuigiza nakufata mkumbo mumy…pole”

“Duh … Simu aijatoka hiyo Pre Order imeanza USA & UK tarehe 19/09 lkn retail stores wanaanza kuuza tarehe 17/10 , hiyo pre order kwa watu ambao awataki kumiss ikitoka wanalipia kabisa ikitoka unaenda kuchukua , sasa hiyo umenunua wapi mwenzetu…”

“KAJALA ACHA UONGO HII CM LABDA MCHINA ORIGINAL HAIJATOKA MPAKA KWA ORDER LOO MWANAMKE MZIMA MPKA LEO UNARINGISHIA CM PAULA NAE AFANYE NINI”

Wewe unaonaje kuhusu jambo hili la mastaa nchini kuishi maisha ya kuigiza kwa ajili ya kuonekana wapo juu kwa mashabiki wao?

Mnamshambulia bure tu,,NOTE 4 iko sokoni toka mwaka jana? Labda NOTE 5 ndo itakuwa launched 21st August.Sasa kosa lake liko wapi? Labda kama haijawa launched Bongo ila Huku Ni used hata dukani hakuna tena.
 
uwe unapenda kuangalia na tarehe ya hii taarifa mkuu.ni ya mwaka uliopita.
 
sasa kama bado haijatoka sokoni kaipata wapi mpaka aigizie we mbururaaaaaaaaaa

ameweka picha ya simu,uwe unasoma na kuelewa.huwa sipendi kuita watu wapumbavu..alaf post ni ya mwaka uliopita,na simu ilikuwa haijatoka.
 
Back
Top Bottom