Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia Dar

Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia Dar

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu

Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂
Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
 
Kosa msukuma aone mdada mweupe, weeeh!
a9a7bb7f274dae0beead40b5de0dbcbe.jpg
 
Anaenda kuuza mbususu tu hakuna cha maana kule wachimbaji kuchakaza milion 30 kwa siku ni kugusa tu
Maisha ya machimboni ni ghali sana nashangaa dogo unatoka mikoa kanda ya ziwa unakimbilia dar kuchoma mahindi barabarani au kuuza supu za pweza huku unaacha madini utakuwa na akili kweli? 😂
Mwisho, Geita ngwengwe ipo tumia kinga mtu wangu
Kuna dada mmoja kule Twitter kwa jina la Chaurembo nani sijuiii, alihama Dsm kwenda Kahama kuuza mgahawa.
Ni muda mrefu sana sijamtia machoni, sijui na yeye amekuwa mchimbaji
 
Mtachimba wee! mtachimba wee! Ila mwisho wa siku Elungata nawapokonya hizo pesa zenu.
 
Nikiwa kama mzawa wa geita, ningesema machache, pesa geita ipo ila walioipata ni matajiri wa zamani siku hizi madini hayatoi tajiri mpya, mifumo ilibana baada ya magu kishika kijiti, kikwete oyee pesa ilitengenezwa.

Ukimwi, ni kawaida kabisa geita kufahamiana na mtu ukaishi nae miaka bila kujua ni muathirika kitu kingine hatari Kwa geita, huwezi ukamaliza NYUMBA tano huja mpata muathirika, hiyo ni hatari sana, mademu wanao Toka dar, na mikoa mwingine mpaka wanashtuka tayari washa unguzwa, unakuta demu anafurahia pesa masikini, baadae ana kuja kigundua kawaka kitambo.

Vijana wa geita ni fashion kuchukuliana mademu hapo ndo moto wa ugonjwa unapo tusomba, ukiishi geita ukawa mla nyapu mshukuru MUNGU sana ukiona wengi wamesha.

PESA ipo pesa ipo, vijana walio tuacha shule wengi tulivo Rudi mtaa tulikuta wana magari, majumba nk.

Changamoto, elimu, elimu, elimu, wengi hawana elimu wanaishi Kwa mazoea, kufulia nikugusa wanasingizia pesa za madini hazikai kumbe mchawi elimu.
 
Msije mkadanganywa kwenda huko eti nawe ukatajirikw, amini Kuna watu DHAHABU ime waua Kwa presha, acha kabisa DHAHABU ya sasa si ya zamani inahitaji mfumo plus uwekezaji wa maana sio kizembe, watu wamefilisika,
 
Back
Top Bottom