Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,394
- 13,476
Mkuu tumekaa na tumeyaona.Kwanini wabongo mnapenda kupigia ramli pesa za watu?
Walikuwepo wenye pesa zaidi ya hizo ila sshv hata watoto wao kusoma shida
Mkuu tumekaa na tumeyaona.Kwanini wabongo mnapenda kupigia ramli pesa za watu?
Nikiwa kama mzawa wa geita, ningesema machache, pesa geita ipo ila walioipata ni matajiri wa zamani siku hizi madini hayatoi tajiri mpya, mifumo ilibana baada ya magu kishika kijiti, kikwete oyee pesa ilitengenezwa.
Ukimwi, ni kawaida kabisa geita kufahamiana na mtu ukaishi nae miaka bila kujua ni muathirika kitu kingine hatari Kwa geita, huwezi ukamaliza NYUMBA tano huja mpata muathirika, hiyo ni hatari sana, mademu wanao Toka dar, na mikoa mwingine mpaka wanashtuka tayari washa unguzwa, unakuta demu anafurahia pesa masikini, baadae ana kuja kigundua kawaka kitambo.
Vijana wa geita ni fashion kuchukuliana mademu hapo ndo moto wa ugonjwa unapo tusomba, ukiishi geita ukawa mla nyapu mshukuru MUNGU sana ukiona wengi wamesha.
PESA ipo pesa ipo, vijana walio tuacha shule wengi tulivo Rudi mtaa tulikuta wana magari, majumba nk.
Changamoto, elimu, elimu, elimu, wengi hawana elimu wanaishi Kwa mazoea, kufulia nikugusa wanasingizia pesa za madini hazikai kumbe mchawi elimu.
Hapana umasikini upo sehemu zote hata Dubai Kuna masikini wa kutupwaUnavyosimulia as if umaskini ushatokomezwa huko Geita