Maisha ya makambi ya Ukimbizi siyo kabisa. Amani ya Tanzania tuilinde kwa nguvu zote

Kategele

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
1,055
Reaction score
2,466
Nimebahatika kutembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu niliyaona daah.
Kuna wakimbizi wa kishua na hohehae kabisa,
Wale hohehae wana maisha magumu kinyama.
Mule ndani ni kama upo Kongo au Burundi, wana shule zao,wana makanisa yao Kuna mitaa ya kikongo na kirundi.
Mrundi haruhusiwi kukatiza mitaa ya kikongo maana inasemekana mrundi ni msumbufu sana.
Wakimbizi wa kishua wao wamejengewa fensi kabisa na huduma za kijamii ni kiwango cha hali ya juu.
Wanasoma mitaala yao ya elimu na mihula ileile ya Nchini mwao kama kule kongo wana pepa la standard four na walioko huku bongo wanafanya mtihani uleule.
Wito kwa vijana wenzangu tuilinde amani yetu, maisha ya ukimbizi siyo mazuri hata kidogo.
Tuipende Nchi yetu tudumishe amani.
 
Tatizo ccm wanaudhi Wana jifanya Wana haki miliki ya hii nchi
 
Vijana hatuna tatizo kabisa shida ni watawala ndo chanzo cha uvunjifu wa amani
 
Back
Top Bottom