beautifulonyinye
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 728
- 481
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana mkuuwakiuza vya kuuza huko wanajitia kulima, siye tunaolima mbona hatutoki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana mkuuwakiuza vya kuuza huko wanajitia kulima, siye tunaolima mbona hatutoki.
siyo kila mtu anayefanikiwa alikua anabeba sembe...sisi vijana wachakalikaji tunasema kilimo ndy sembe mpya.Ashabeba mzigo sana ,sasa anazugia kwenye kilimo.
mbona ss tunalima lakn hatuja nyoshwa na kilimo..mambo fresh mpaka naisi ajira ni utumwa..acha kukata tamaa mkuu..Na wewe ukajidanganye uvamie kilimo kikunyooshe. Mafanikio ya mwafrica yana siri nyingi.
kwani kuwa mkulima lazima na ww ulime si unaweka vibarua..kwa taarifa yako huyu masanja anakolima huku ubaruku na mm nalimia huku huku..masanja hana hekar kama 100 hv..kwa wastan hekar moja hutoa si chini ya gunia 20 za mpunga.. siyo mwenzako.huyu mkuu wee.endelea kusema anauza unga na ww uza basiUwongo mtupu huyu kila muda yuko dar kuna wakulima wanashinda shamba hawatoki...madawa ya kulevya ndio yamemtoa hakuna cha kilimo wala nini
Asante dadasababu ya kijinga na kitoto.
sahihiulimwengu wa technologia unamambo mengi yenye faida. kwa mfano huyu anatumia technologia kujionesha ni mchakalikaji kila eneo
kwani kuwa mkulima lazima na ww ulime si unaweka vibarua..kwa taarifa yako huyu masanja anakolima huku ubaruku na mm nalimia huku huku..masanja hana hekar kama 100 hv..kwa wastan hekar moja hutoa si chini ya gunia 20 za mpunga.. siyo mwenzako.huyu mkuu wee.endelea kusema anauza unga na ww uza basi
kupanda hadi kuvuna hadi kufika hme kabisa nilitumia kama 620,000Gharama za kuhudumia eka moja ni wastani wa kiasi gani?
kupanda hadi kuvuna hadi kufika hme kabisa nilitumia kama 620,000
alisema si chini ya gunia 20.Kwa ekari moja??? Na je, kwa eka moja unavuna magunia mangapi ya mpunga?
alisema si chini ya gunia 20.
Na anaepiga pichad
duu iyo sembe alone?
nasikia ekari 15 ni 3.5m na miezi ya kukodi ndiyo hii.Na upatikanaji wa mashamba upoje huko?
Akitoka hapo anaingia kwenye Black BMW X6 yake...ile desiigner anasema kwenye Panda
'White X6 panda,
Black X6 Phantom'
nasikia ekari 15 ni 3.5m na miezi ya kukodi ndiyo hii.