Maisha ya Masanja akiwa shambani

Maisha ya Masanja akiwa shambani

Uwongo mtupu huyu kila muda yuko dar kuna wakulima wanashinda shamba hawatoki...madawa ya kulevya ndio yamemtoa hakuna cha kilimo wala nini
kwani kuwa mkulima lazima na ww ulime si unaweka vibarua..kwa taarifa yako huyu masanja anakolima huku ubaruku na mm nalimia huku huku..masanja hana hekar kama 100 hv..kwa wastan hekar moja hutoa si chini ya gunia 20 za mpunga.. siyo mwenzako.huyu mkuu wee.endelea kusema anauza unga na ww uza basi
 
Gharama za kuhudumia eka moja ni wastani wa kiasi gani?
 
Subirini kuteuliwa na Magu muishi maisha ya hofu.... Msubiri magari ya kuazima mdanganye watu huku mkiwa hamna pesa..... Tufanye kazi.
 
Back
Top Bottom