mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Tatizo hawakawii kusema tuwachangieWaache na maisha yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hawakawii kusema tuwachangieWaache na maisha yao
WatakomaTatizo hawakawii kusema tuwachangie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka kutokea wapi??!!,[emoji1787][emoji1787]acha waishi waishivyo fainali uzeeni
Tafuta wa level yako mkuuHivi hawa maslay queen wanafahamu mbeleni maisha yapoje !
Biashara zao wote ukisikia ni kufungua duka la nguo ndo biashara hata ukimuamsha haraka kumuuliza.
Kutopitwa na wakati mfano smartphone kila mpya lazima kuwa nayo,viwanja vizuri,nguo nzuri.
Maisha yao ni ya mitandao sana na picha za kuvutia sehemu nzuri,nguo nzuri ,maeneo mazuri na vyakula vizuri.
Kuna mdada mmoja mpaka najiuliza kazi mshahara laki tatu.
•Nyumba anayopanga laki nne kwa mwezi.
•Simu iphone 12 pro max
•Usafiri IST namba D
•Sehemu utakazo mkuta kama ujaacha laki na kitu
Hawa maslay queen ndio wanamfanya ndugu yetu Diamond Platinum kupiga na kuondoka, wanaweza kukufirisi
Yeah ndo hawa sasa
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]ya kichogo itakuhusu[emoji23] nikija na pesa za usizo zijua lazima nikutafune kazuri
hawana akili hao, hawajui kuna kuzeeka? wakatumia pesa kwa nidhamu?Hivi hawa maslay queen wanafahamu mbeleni maisha yapoje !