Maisha ya Maslay Queen

Maisha ya Maslay Queen

Slay queens mnaitwaa huku, kuna jambo lenu lol [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hawa maslay queen wanafahamu mbeleni maisha yapoje !

Biashara zao wote ukisikia ni kufungua duka la nguo ndo biashara hata ukimuamsha haraka kumuuliza.

Kutopitwa na wakati mfano smartphone kila mpya lazima kuwa nayo,viwanja vizuri,nguo nzuri.

Maisha yao ni ya mitandao sana na picha za kuvutia sehemu nzuri,nguo nzuri ,maeneo mazuri na vyakula vizuri.

Kuna mdada mmoja mpaka najiuliza kazi mshahara laki tatu.
•Nyumba anayopanga laki nne kwa mwezi.
•Simu iphone 12 pro max
•Usafiri IST namba D
•Sehemu utakazo mkuta kama ujaacha laki na kitu

Hawa maslay queen ndio wanamfanya ndugu yetu Diamond Platinum kupiga na kuondoka, wanaweza kukufirisi
Tafuta wa level yako mkuu
 
hawana akili hao, hawajui kuna kuzeeka? wakatumia pesa kwa nidhamu?

wanazani uzee ukianza kugonga hodi kuna wa kuwahonga tena?. Hata salamu tu ile ya kuambiwa mambooo, itabakia historia.

Kama hawaamini wakamuulize wema sepetu.
 
Ukiwa muigizaji zile "........Mengi ni kaka yangu Bakheresa ni mjomba wangu....." utawala vizuri.
 
of course mashalobalo wa kuigiza maisha na kuazima magari ya watu, wanawatafuna mpaka vinyeo, yani ni wanaliwa haswa.
 
hii bongo ukiwa na jina kubwa ni adhabu.kwa mwanamke utakazwa sana hata wa kiume usipoangalia utakazwa pia.
 
Back
Top Bottom