To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Nyodo nyingi lakini kiukweli nyie mmeumbiwa tumaisha nusukaputiDaa.. kumbe kama dume la nyuki kufa baada ya kupanda jike… wanaume kweli bahati mbaya [emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyodo nyingi lakini kiukweli nyie mmeumbiwa tumaisha nusukaputiDaa.. kumbe kama dume la nyuki kufa baada ya kupanda jike… wanaume kweli bahati mbaya [emoji848]
) llHakika, na ajabu dume hawezi kukwepa pale mzuka unapompanda, muumba fundi sana inakisiwa ladha ya k tunayoipata pia viumbe vyote vya kiume huipata ili kuendeleza uzazi, inafikiriwa mnyama mbwa hupata starehe au utamu zaidi ya viumbe woteVitu vingine vinafikirisha sana
Akili hunq
😁😁😁asante sanaAkili hunq
Hii pia huwatokea pweza dume. Huliwa na majike katika mtindo huo huo wa kombamwiko.Ni kwamba karibu robo ya matukio ambapo vunja chungu dume anapomkaribia jike basi huliwa. Na nyakati hatari zaidi kwa dume ni wakati wa tendo la kupandana.
View attachment 2425905
Wanapomaliza, ikiwa itatokea dume litaponea kuliwa, basi dume huanguka tu kwa kuishiwa nguvu kutoka kwa majike au huruka kabla hajakamatwa.
View attachment 2425900
(Dume lililoliwa kichwa kabla ya kumaliza tendo)
Ulaji nyama ya wao kwa wao baada ya kujamiiana ni jambo la kawaida miongoni mwa mantis ( vunja chungu), na watafiti wamehusisha tabia hii inatokana na kuhakikisha maisha ya jike na watoto wake.
View attachment 2425904
Katika vunjachungu majike muda mwingine hula tu wenzi wao wakati chakula kinapokuwa kichache ama hakipatikani kirahisi.
(Bora binadamu hatupo hivi, wengi sana tungepoteza maisha kitambo😂)
Well said! Tunaliwa sana ila hatutaki kukubali kuwa tunaliwa. Sijafanya utafiti ila kwa haraka wanaume waliopo kwenye ndoa wenye miaka 45 na kuendelea wapo hatarini zaidi kuliko wake zao.Hahaha...
Kwa kifupi wanaume wote duniani wanyama Kwa wadudu, mmeumbiwa Mateso.
Tatizo wanaume binadamu ndio mmekuwa wabishi kukubaliana na hali Halisi.
Umewaza nn chief!? Kama ulikuwa mawazoni mwangu vilee.....Tabia ya kimachame hii
Binadamu tungekuwa tunakulana hivi ingependeza sana, au unasemaje?
Ndicho unachotabasanu😂Binadamu tungekuwa tunakulana hivi ingependeza sana, au unasemaje?
Tulane vichwa sio hilo lingine unalowaza 😀Ndicho unachotabasanu😂
Fambaf🤣Tulane vichwa sio hilo lingine unalowaza 😀