Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Tia neno shemeji... Kwamba mngekua mnatukula baada ya kuwakula...I reserve my comment.....sijaandika ila nacheka mwenyewe ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tia neno shemeji... Kwamba mngekua mnatukula baada ya kuwakula...I reserve my comment.....sijaandika ila nacheka mwenyewe ๐๐๐
๐๐๐ DahTia neno shemeji... Kwamba mngekua mnatukula baada ya kuwakula...
Badala ya love bite inakua nyonya damu kama popo...๐๐๐ Dah
Mmmmmmmh!!!!Tabia ya kimachame hii
Hawa wadudu wamenishangaza kwakweli ๐๐ utamu unawatoa rohoBadala ya love bite inakua nyonya damu kama popo...
Umbwa kabisa kolo mkubwa weee!! Wamachame mnaowazungumzia ni wale wa kona ya machine tools karibu na mto kikafu tu au hata hawa waliozaliwa na kukulia hapo kimara nao ni sem sem?Tabia ya kimachame hii
Kwa hiyo unataka tulegee mtukule!! Nyooo,mtakula nyoko zenu!Hahaha...
Kwa kifupi wanaume wote duniani wanyama Kwa wadudu, mmeumbiwa Mateso.
Tatizo wanaume binadamu ndio mmekuwa wabishi kukubaliana na hali Halisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo unataka tulegee mtukule!! Nyooo,mtakula nyoko zenu!
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUmbwa kabisa kolo mkubwa weee!! Wamachame mnaowazungumzia ni wale wa kona ya machine tools karibu na mto kikafu tu au hata hawa waliozaliwa na kukulia hapo kimara nao ni sem sem?