Maisha ya mdudu (vunjachungu dume) si ya thamani tena kwa jike baada tu ya kujamiiana

Daa.. kumbe kama dume la nyuki kufa baada ya kupanda jike… wanaume kweli bahati mbaya [emoji848]
Nyodo nyingi lakini kiukweli nyie mmeumbiwa tumaisha nusukaputi
 
Dume linatakiwa liende Gym mbona dogo hivyo?
 
Dah! huyu mantis jike ananikumbusha enzi zileee nilikuwa na kidemu changu cha kinyakyusa wakati wa "kunjunjana" mautamu yakikazidi kananing'ata meno na kuning'ang'ania kama ruba...! nahisi kalikuwa na genes za vunjajungu!

Halafu hawa mantis wanapenda kunywa pombe ya mnazi balaa sa ndo ukute kalewa pombe na hiyo mimacho na miguu yake utampenda anavyoswing na mikwara ya hatari...!
 
Vitu vingine vinafikirisha sana
) llHakika, na ajabu dume hawezi kukwepa pale mzuka unapompanda, muumba fundi sana inakisiwa ladha ya k tunayoipata pia viumbe vyote vya kiume huipata ili kuendeleza uzazi, inafikiriwa mnyama mbwa hupata starehe au utamu zaidi ya viumbe wote
 
Hii pia huwatokea pweza dume. Huliwa na majike katika mtindo huo huo wa kombamwiko.
 
Hahaha...

Kwa kifupi wanaume wote duniani wanyama Kwa wadudu, mmeumbiwa Mateso.

Tatizo wanaume binadamu ndio mmekuwa wabishi kukubaliana na hali Halisi.
 
Hahaha...

Kwa kifupi wanaume wote duniani wanyama Kwa wadudu, mmeumbiwa Mateso.

Tatizo wanaume binadamu ndio mmekuwa wabishi kukubaliana na hali Halisi.
Well said! Tunaliwa sana ila hatutaki kukubali kuwa tunaliwa. Sijafanya utafiti ila kwa haraka wanaume waliopo kwenye ndoa wenye miaka 45 na kuendelea wapo hatarini zaidi kuliko wake zao.
Ukiwatafuta wagane wenye umri wa miaka 50+ na wajane wenye umri huo unaweza ukaona wanaume wanavyoliwa utosi katika eneo lako unaloishi.
“ Jikaze kiume, wanaume tumeumbwa matesooo”... ni semi zilizoficha busara ya mtu kuliwa kichwa.
Baa nyingi usiku hujawa na wanaume siyo kwamba wanapenda kunywa sana ila ni kupunguza maumivu ya kuliwa kichwa. Unaweza ukajaribu kutafiti juu ya hili.
 
Mimi naona mfumo huu unamsaidia female praying mantis asizae uzao wa viumbe dhaifu.
Sababu mwanaume akiwa dhaifu akishindwa vita na wa kikie ndipo huliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…