Tia neno shemeji... Kwamba mngekua mnatukula baada ya kuwakula...I reserve my comment.....sijaandika ila nacheka mwenyewe πππ
πππ DahTia neno shemeji... Kwamba mngekua mnatukula baada ya kuwakula...
Badala ya love bite inakua nyonya damu kama popo...πππ Dah
Mmmmmmmh!!!!Tabia ya kimachame hii
Hawa wadudu wamenishangaza kwakweli ππ utamu unawatoa rohoBadala ya love bite inakua nyonya damu kama popo...
Umbwa kabisa kolo mkubwa weee!! Wamachame mnaowazungumzia ni wale wa kona ya machine tools karibu na mto kikafu tu au hata hawa waliozaliwa na kukulia hapo kimara nao ni sem sem?Tabia ya kimachame hii
Kwa hiyo unataka tulegee mtukule!! Nyooo,mtakula nyoko zenu!Hahaha...
Kwa kifupi wanaume wote duniani wanyama Kwa wadudu, mmeumbiwa Mateso.
Tatizo wanaume binadamu ndio mmekuwa wabishi kukubaliana na hali Halisi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo unataka tulegee mtukule!! Nyooo,mtakula nyoko zenu!
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Umbwa kabisa kolo mkubwa weee!! Wamachame mnaowazungumzia ni wale wa kona ya machine tools karibu na mto kikafu tu au hata hawa waliozaliwa na kukulia hapo kimara nao ni sem sem?