Huna uwezo wa kutoa taarifa. Zaidi sana unaleta uongo kujaribu kulinganisha TZ na Kenya. Kama kwenu kubaya kubaya tu. Huwezi ukatumia uongo kujifariji.
Leta taarifa za ukweli. Kama upo nazo za ukweli wewe leta na mimi naleta zenu.
Kwikwikwikwi. Umekosa vitu wewe leta hapa information mbona una ongea ongea sana. Leta taarifa za ukweliNAKUPATIA NAFASI YA MWISHO.... JE NYAMA YA BINADAMU INAONJA AJE??
naona unatumia nguvu kubwa kumjibu mleta mada ili ionekane baadhi ya vitu alivyo zungumza kuhusu kenya ni vya uongo.
kwa mfano,kuhusu uhaba wa maji kwa nairobi,ukweli huu hapa.ni ukweli latest wa 2017 sio 2016 or 2015
[emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
ni hiyari yako kusoma kimya na kuhepa au kukanusha.
Iyo turkana ni nchi nyingine ndani ya kenya mkuu?The Republic of Turkana Defence Force (TDF). Police wa Kenya hawawezi kanyaga huko.
Leta hiyo source ya taarifa unayosema. Siyo kuleta uongo uongo hapa. Naona umekomalia sana hiyo issue. Wewe unatakiwa kuleta hiyo taarifa hapa. Evidences na references kuhusu "People eat Human". La sivyo utaonakana mpuuzi tu fulani.Tihahahhaaaaa... Devil worshipper mwingine huyu... You people who eat humans do not deserve to be alive.
Tihahahhaaaaa... Devil worshipper mwingine huyu... You people who eat humans do not deserve to be alive.
Hiyo ndiyo Turkana ndugu yangu. Police na hata rais wa kenya hawezi kanyaga huko. Wanajiendesha maisha yao wenyewe.Iyo turkana ni nchi nyingine ndani ya kenya mkuu?
Hiyo ndiyo Turkana ndugu yangu. Police na hata rais wa kenya hawezi kanyaga huko. Wanajiendesha maisha yao wenyewe.
Hamna mtu anayependa au kuunga mkono kuuawa kwa albino. Pia huna ushahidi wa hilo.
Ila nimegungua kuwa wewe ni muongo wa kutupwa. Umeleta post karibu kumi za uongo.
Leta hiyo source ya taarifa unayosema. Siyo kuleta uongo uongo hapa. Naona umekomalia sana hiyo issue. Wewe unatakiwa kuleta hiyo taarifa hapa. Evidences na references kuhusu "People eat Human". La sivyo utaonakana mpuuzi tu fulani.
Kutoka sabasaba mpaka bamburi ni 70 bob, kinachokera nchi hii ni ustaarabu watu wake hawana ustaarabu hata kidogo, uchafu mtaani mpaka kinyaa hawajali, ukiingia hotel za bei kawaida utapewa pilau sahani ya bati, na ukabila sasa mpaka kinyaa, Kuna radio na TV za kikabila,Nilienda Mombasa wakati wa Pasaka. Eneo la Bamburi Bia Za KBL ni Ksh 180 hadi 200 Sawa na Tsh 3960 - 4400: Mbuzi Choma au kukaanga kilo Ksh 700 same na kuku broiler Sawa na Tshs 15400. Matatu trip 50 Bob sawa na aTsh 1100/=. Wenzetu wana hali mbaya.
Wewe zungumza unavyoweza kwa uhuru wako. Lakini usije ukaleta taarifa za uongo tu.HAMTAKI KABISA MAMBO YA ALBINISM YAGUZWE EEH... LET ME TEACH YOU WELL. THAT IS DEVIL WORSHIPPING MY FRIEND... HAKUNA MTU HATAKI NA MNAWAUA NA KULA NYAMA YAO.
Wewe zungumza unavyoweza kwa uhuru wako. Lakini usije ukaleta taarifa za uongo tu.
Sasa ngoja nikupatie taarifa za kukuumiza kidogo. Hii ni kwa sababu ya kujipendekeza kwenu
Kwanza ninaanza na Askari wenu wenye viuno kama nyigu:
Matokeo yake sasa ni kama ifuatavyo:-
Ushauri, acheni kuifanya wajuaji wakati hamna uwezo. Ona vijana wengi wa kenya wanauawa bila hata sababu ya msingi
Wanazo working permit mkuu?Tunao hapa kinondoni wanafanya kazi za kifala kabisa wameanzisha workshop yao ya kuchomelea, ila jamaa wanapiga kazi ile mbaya inavyoonyesha wametoka kwenye shida
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Wewe zungumza unavyoweza kwa uhuru wako. Lakini usije ukaleta taarifa za uongo tu.
Sasa ngoja nikupatie taarifa za kukuumiza kidogo. Hii ni kwa sababu ya kujipendekeza kwenu
Kwanza ninaanza na Askari wenu wenye viuno kama nyigu:
Matokeo yake sasa ni kama ifuatavyo:-
Ushauri, acheni kuifanya wajuaji wakati hamna uwezo. Ona vijana wengi wa kenya wanauawa bila hata sababu ya msingi
Hiyo english yenu sisi hatuna haja nayo tunajivunia Kiswahili, na hicho ndicho kinachowapoteza wa Kenya kupenda majigambo na ligha za wenzenuhormonal imbalance problems kaka seems like a doctor consultation may help!, utaumwa ukome, english is a national disaster in tanganyika!!!!!!!!