Wanazo working permit mkuu?
Hiyo english yenu sisi hatuna haja nayo tunajivunia Kiswahili, na hicho ndicho kinachowapoteza wa Kenya kupenda majigambo na ligha za wenzenu
Duh!! Watakuwa wana serikali yao kwa Tanzania si rahisi kuona watu wanamiliki bunduki kama kisu,kweli tembea uone mkuu.Hiyo ndiyo Turkana ndugu yangu. Police na hata rais wa kenya hawezi kanyaga huko. Wanajiendesha maisha yao wenyewe.
Dah inasikitisha saana kazi ya marekani hiyo kaona yeye hawezi chini akamsifia mkenya kidogo, mkenya huyo somalia matokeo yake ndo hayo kila siku wanajeshi wao wanakufa. Inasikitisha sana. Sijui wakenya wanapigana nini somalia.Wewe zungumza unavyoweza kwa uhuru wako. Lakini usije ukaleta taarifa za uongo tu.
Sasa ngoja nikupatie taarifa za kukuumiza kidogo. Hii ni kwa sababu ya kujipendekeza kwenu
Kwanza ninaanza na Askari wenu wenye viuno kama nyigu:
Matokeo yake sasa ni kama ifuatavyo:-
Ushauri, acheni kuifanya wajuaji wakati hamna uwezo. Ona vijana wengi wa kenya wanauawa bila hata sababu ya msingi
Nimekuona kuanzia thread ilipoanzia hadi tupo ukurasa 23 umengangania hapo hapo tu,hauna jipya kakojoe ukalale au tulia dawa ingie vizuri.Shida ni kula binadamu mwenzako... Mnajifanyaa watu wazuri kumbe ni Kishetanishetani tu kimewajaa.... Nani anafanya hivi isipokuwa nyie wenyewe..
View attachment 500763
Nimekuona kuanzia thread ilipoanzia hadi tupo ukurasa 23 umengangania hapo hapo tu,hauna jipya kakojoe ukalale au tulia dawa ingie vizuri.
najua unasumbuliwa na nyege wewe,ni siku nyingi hujachezea mche wangu.KWEKWEKWE... DAIMA HAUNA CHOCHOTE WEWE. TYPICAL TROLL AND HATER. I AM NOT SURPRISED. A BITCH WHO HAS EATEN HUMAN FLESH BEHAVES EXACTLY LIKE YOU. GET A LIFE ANNAEL.
Achana naye ajufurahishe. Yaani anachekesha sana na kusikitisha.najua unasumbuliwa na nyege wewe,ni siku nyingi hujachezea mche wangu.
anyway next week i'm coming to nairobi just for you my kenyan girlfriend.will send you name of the hotel i will be staying during my 5 days romantic visit.
Nimeishi Nairobi miaka ya 90 ulichoandika ni kweli, kulikuwa na matatuu za route no. 9 ni Kelele tupu. Kama ulivyosema wanayo mazuri ila, Nairobi kunywa chai ya rangi na mkate wa siagi, hii ni tofauti na bongo. Uhuru Park pia ni pazuri.Kule sometimes and almost always chai na mkate ni supper mkuu
najua unasumbuliwa na nyege wewe,ni siku nyingi hujachezea mche wangu.
anyway next week i'm coming to nairobi just for you my kenyan girlfriend.will send you name of the hotel i will be staying during my 5 days romantic visit.
Achana naye ajufurahishe. Yaani anachekesha sana na kusikitisha.
Hiyo english yenu sisi hatuna haja nayo tunajivunia Kiswahili, na hicho ndicho kinachowapoteza wa Kenya kupenda majigambo na ligha za wenzenu
sasa ulikuwa wataka upewe bia bure ama nini? average beer bottle price yake ni $2 equivalent of Ksh 200. na nini mbaya price ya matatu ikiwa Ksh 50 depending on the distance? plus you get free Wi-fi, Led tv screens on every seat? Btw, i hope you saw Bamburi, one of Mombasa's suburbs and an area you get all the 5Star hotels that can't be unmatched by your pathetic hotels. plus yeah, the biggest public beach too. huko ndio raha yote hupatikana lakini kwa vile ulikuwa hauna pesa, ulihangaika sana na kuteseka. bora ungeenda sabasaba ukaombe pesa kama watanzania wenzako hufanya MombasaNilienda Mombasa wakati wa Pasaka. Eneo la Bamburi Bia Za KBL ni Ksh 180 hadi 200 Sawa na Tsh 3960 - 4400: Mbuzi Choma au kukaanga kilo Ksh 700 same na kuku broiler Sawa na Tshs 15400. Matatu trip 50 Bob sawa na aTsh 1100/=. Wenzetu wana hali mbaya.
Would you like to get in touch with Tanzanians living in Kenya? Discover the Tanzanian expat community in Kenya, the best way to make friends and to contact Tanzanians! You can also get in touch with all the members of the Kenya network.Nimekaa Nairobi, Sehemu tofauti tofauti, nimejichanganya na wananchi wa Kawaida... Maisha yao ni magumu sana sana.....
Why?
1. Plot wanazoishi sio hygienic, choo kimoja hushea watu zaidi ya 30+ which is dangerous in case of disease epidimics
2. Nyumba ni za mabati, kama mabanda ya nguruwe, huwezi amini kumuona mtu mstaarabu kwa road but ukenda kwa plot yake ni ya bati kama nguruwe
3. Mitaa mingi haina maji, hutegemea maji yanayosambazwa na malori, Lori moja husambaza maji mtaa mzima, watu hugombania, ndio ya 20litre huuzwa 20bob=440/= Tsh... Wana wake hubeba maji mgongoni sio kichwani kama ngamia au punda wakitembea a distance.
4. Wachache sana wanao afford kula balanced diet, wengi hula mboga tu(sukuma, terere, kienyeji, etc kwa ugali, nyama ni adimu sana hula matajiri tu.....
5. Mb za Kenya huisha kama upepo na very expensive, Tsh 50/= (1110/= Tsh ) unapewa Mb-68 tu, ambazo ukilog in fb dk 10 zinaisha, wakati Tz Fb ni bure na Kwa Tsh 1500/= unapata 1GB and a lot of airtime for a week.
Hakuna vibando vya kupiga simu kama Tz, mfano Tz unaweza weka Salio ukanunua dk kadhaa za kupiga, Kenya Unaweka Salio na kupiga hivyo hivyo kavu kavu, kudadeki, Tz tuna unafuu mkubwa wa mawasiliano, huduma kama Halichachi Bando n.k zinasaidia wana nchi.
5. Uchafu na taka ni changamoto sana, wana nchi hutupa hivyo maana hakuna utaratibu maalumu kama magari, yapo machache but not affordable to wana nchi wa kawaida wa hali ya chini
6. NAULI kila city basi hujipangia haiko fixed na hakuna governing body yenye hupanga na kuamua nauli kama SUMTRA TZ... So naweza end a tao(town) kwa mbao(20bob=Tsh 440\=) lakini ujaridi kwa 70bob(=1500/= Tsh au soo(Tsh 2000/=) hii INA kufanya ushindwe kupredict
7. Wakenya hawasalimiani njiani, unapita kimya kimya unless uwe mnajuana ndo unaaema 'Sasa......" Tz ni waungwana ukipita kwa njia ni must utae hae juu waweza dondoka mbele akaja akakusevu uliyemuacha nyuma
8. Makelele MENGI sana, tao(town) juu magari yako MENGI sana hasa ya abiria, mahoni pipiiiii, it make the city look hooliganic... Tz uko poa juu mabasi yamepigwa stop kuingia city centre hata yakiingia yana location maalumu sio kuzagaa kama Nairobi
9. Matapeli yamejaaa, Ma conmen, ukiwa street kuibiwa simu ni kawaida, dk mbili unaoneshwa kisu, hasa Eastleigh kule, ni balaaa
1
Kwa Kifupi Maisha Ni magumu sana kwa RAIA wa daraja LA chini, but starehe kwa matajiri na wenye nacho
10. Mabangi yameharimu vijana, vijana waziwazi wanatafuna miraaa, na Rais Wao aliruhusu and promised to fund miraa projects, this is insane...
11. Makelele ya mziki ndani ya matatu yanaharibu sana maskio, na huwezi sikizana kwa phone ukiwa ndani ya matatu, regaae musics most preferred na matatu ziko equipped na music system nzito sound crazy for we non citizens who were not used to this before
Note:- This report is based in Society with low socioeconomic status which constitutes 75% of Kenyans in Nairobi
POSITIVE;-
1. Shule zao ziko smart huwezi differentiate Gava na private
.2. Watoto wanatema ung'eng'e balaa, mtoto wa std 4 ni sawa na form 6 wa Tz,, they are very fluent, compentent in English both written and spoken......nashauri kwenye pesa wapeleke watoto Wao kula japo kwa primary, very cheap.....na quality uko juu
3. Magari ni rahisi kumiliki
4. Starehe nyingi sanaaaaaaa, sanaaaaa kama una pesa zako
5. Hakuna MTU anajali mambo yako, no kulogana au wivu...
6. Entertainments clubs, pubs zimejaaaa
7. Mabasi yao yamepambwa sana this make the city jams look good
Ni HAYO KWA LEO, WAKIBISHANA NITALETA PICHA
Nimekaa Nairobi, Sehemu tofauti tofauti, nimejichanganya na wananchi wa Kawaida... Maisha yao ni magumu sana sana.....

Safaricom attendant who touched customers' hearts meets Bob CollymoreNimekaa Nairobi, Sehemu tofauti tofauti, nimejichanganya na wananchi wa Kawaida... Maisha yao ni magumu sana sana.....

Tangazo maalum: Kama hauna vyeti vya masomo, ujuzi, uzoefu wa kujieleza kiingereza, pesa, basi katu usithubutu kuja Kenya. sisi waKenya ni walipaji ushuru ndio maana nchi yetu imeendelea kuwashinda nyinyi walala hoi. hatutaki mutuletee uzembe wenu katika nchi yetu. bora mubaki huko huko bongolala.
nasema hivyo kwa maana najua watanzania wengi ninaokutana nao kila siku. ni kweli watanzania ni watu wa hali ya chini wakija Kenya kutokana na hizo sababu nilizopeana hapo juu ndiposa mukawa watu wa kudharauliwa na kuchekelewa.
narudia tena, usije Kenya kama hauna degree. hatutaki ulofa.