Maisha ya mkenya wa kawaida


Kabisa kaka!..Kenya ina disadvantages chungu nzima.
Hapo pamezungukwa na mataifa hatari na katili kama Sudani ya Kusini,Somalia,Ethiopia pamoja na ya kidikteta Uganda.
Somalia ipo vitani pamoja na kua makao makuu ya magaidi ISIS,ALqaeda linked Alshabab.
Sudani ipo vitani,Uganda ni taifa la kijeshijeshi na kidikteta.
Tanzania imezungukwa na mataifa yenye AMANI,Burundi ni ndogo sana na haipo vitani kabisa.
Kenya asilimia sabini ni JANGWA.

Kenya makabila yanatofautiana sana na ina very different RACES...CUSHITES,NILOTES,BANTU,EUROS,ARABS pamoja na INDIANS...very diverse!...naweza kuendelea mpaka kesho..
 
Mkuu unaweka picha za watu wenye familia zao kwa mambo mabaya waliofanyiwa kitambo.

Acha hizo, ni sawa sawa na mtu aanze kuweka pctr za victims na mauaji yenyu 2007.

We shindana kwa hoja, kuwa civilized.
Interestingly you went through the whole thread but never found your fellow Tanzanians uncivilized for the bullshit they're posting here. The thread title alone stems from an uncivilized mind.
 
Jamaa kwel uko sawa asee kwenye nauli haziko fixed
Pia hawataji kituo Kama Tanzania
Gari zao ziko kwa namba Sa Kama wewe umezoea mwenge makumbusho huko hamna
Pia Nyumba ni ya bati halafu kodi ksh 5000 sawa Na laki ya tanzania aseee ni hayo tuu hahah
 
hii ni kwel
Acha izo kijana ushakua MTU mzima MTU atachaje kutawaza c atakua kama gari LA taka,..ushakua MTU mzima acha upoyoyo
i jamaa hutumia toilet paper tuu, nadhani hutawadha pale wakienda kuoga tuu. hii hata wagandee wanayo, its only moslem ndio hutumia maji huko kutawadha baada ya kushit
 
Vijana wa Kenya wanalia wanatia huruma, wanalia foulo eti mods acute Uzi....hahaaaaa tumewakamara... Wao WANATAKA wasifiwe tu post kama Jiji la Nairobi zuri, uchumi umekua ndo wafurahi...

Wamesahau uhuni na ujambazi unaofanywa na vijana wadogo wa vikundi vya Gaza etc kule eistleigh.....

Wamesau Samburu na Laikipia jinsi Armed citizen wanavyobattle na Kdf, ng'ombe wanauawa kwa risasi, ranches owners wanapigwa na kuuliwa....

Nairobery nako ni noma,,,, city is full of conmen
 
Water Problem in Nairobi

Yaani ni kama almasi very expensive na hayapatikani, ndio maana huwezi ukayatumia vibaya chooni so instead they prefer toilet papers and it is most selling commodities huuzwa hadi kwa njia





 

kenya maisha ni magumu sana mpaka tanzania inaexport omba omba kenya. pongezi !!



Tanzanian couple, 'beggars' arrested over ploy for money in Embu town- mji uli kilomita 120 kutoka nairobi- pongezi jirani ila tunaomba experts sio omba omba

A Tanzanian man and his wife have been arrested for allegedly placing physically challenged people on the streets of Embu town to beg for money.

Six people living with disabilities, aged between 20 and 25, and two who allegedly pushed the wheelchairs of the severely handicapped were also apprehended on Wednesday night.

Embu West OCPD Francis Sang' said the nine admitted hailing from Tanzania but added that the organiser of the ploy had their identification documents.
 
and this shit from tanganyika
Kweli kenya maisha balaa mpaka jirani anapapenda kwa biashara yake ya omba omba. all the from tz kwenye utajiri na maisha ya raha!!!
Immigration officials arrest 11 beggars from Tanzania
FRIDAY MARCH 3 2017



emailMore by this Author
Immigration officials in Nakuru have unearthed a syndicate involved in the influx of beggars from Tanzania and other East African countries to the town.

The beggars are used by the syndicate to collect money from the public.

Acting on a tip-off, police and the immigration officials on Wednesday evening rounded up 11 beggars.

The 11 included disabled men and women aged between 25 and 35 years

According to an immigration official who led the crackdown, the Tanzanian beggars were picked up from the town’s main street - Kenyatta Avenue.

“There must be someone organising the entry of these beggars into the town centre.

“It appears that they are being dropped at specific [points] very early in the morning and picked up late in the evening,” said the official.

FROM MUSOMA

Those arrested are said to be from Musoma in Tanzania.

Police have launched investigations with the aim of arresting those behind the human trafficking syndicate, Nakuru police chief Joshua Omukata said.

“The beggars have been staying in the country illegally,” said Mr Omukata.

Those arrested were taken to court where Senior Resident Magistrate Joe Mkutu Omido ordered their deportation.

Residents and members of the civil society have in the past complained about the increasing number of street children and beggars in Nakuru Town.

They argued that their presence was an eyesore and compromised the security of visitors coming to the town.
 

Dah!...si muongelee mabaya na mazuri ya Dar pia tuyaone?...leta uzi...kila sikuNairobi,Kenya,Nai,Kenya..bla ba bla...hamchoki?
 
nashukuru kwa uchambuzi wako mana umenipa funzo kubwa na nimepata kitu kupitia uzi wako
 

Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…