Mto_Ngono
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 686
- 589
Basi hawa Kenya watakuwa wanatumia nguvu za giza, yani pamoja na hizo disadvantage zote wameizidi tanzania kiuchumi!!! Kazi ya ziada inahitajika na huu ukuaji ingependeza ufike hata 15% na sio 7% ili kuwazidi kiuchumi majirani. World Economic Outlook Database, April 2017- World Economic Outlook Database April 2017