Maisha ya mkenya wa kawaida


Kwahiyo Mkuu unataka kusema siku nikija Kenya inabidi nimwombe aliyemchomolea Bastola Nape Nnauye anisindikize ili akawachomolee pia Bastola Wababe wenzie wale Machokoraa wa Nairobeeeee?
 
Umeshindwa kwa hoja na uhalisia umeamua ukimbie.


Soooo, wewe umekuwa ukiishi slums Nairobi, sio?
 
Kwahiyo Mkuu unataka kusema siku nikija Kenya inabidi nimwombe aliyemchomolea Bastola Nape Nnauye anisindikize ili akawachomolee pia Bastola Wababe wenzie wale Machokoraa wa Nairobeeeee?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Nimekaa Nairobi, Sehemu tofauti tofauti, nimejichanganya na wananchi wa Kawaida... Maisha yao ni magumu sana sana.....

Why?
1. Plot wanazoishi sio hygienic, choo kimoja hushea watu zaidi ya 30+ which is dangerous in case of disease epidimics

a. 15 Dirtiest Cities in the World

b.


2. Nyumba ni za mabati, kama mabanda ya nguruwe, huwezi amini kumuona mtu mstaarabu kwa road but ukenda kwa plot yake ni ya bati kama nguruwe

But u were also living in those places

3. Mitaa mingi haina maji, hutegemea maji yanayosambazwa na malori, Lori moja husambaza maji mtaa mzima, watu hugombania, ndio ya 20litre huuzwa 20bob=440/= Tsh... Wana wake hubeba maji mgongoni sio kichwani kama ngamia au punda wakitembea a distance.

That is a lie. Most homes in Nairobi depend on the tap water from the NWSC

 
What you are showing and not what u showing, go get refund from ur English grammar teacher

Both are correct MissM4C. I think you are the one with a problem here. You should not correct someone on his English because I've seen you make more worse mistakes in this thread.
 
Rafiki yangu hebu acha kutuchekesha hapa. Water access
Are you kidding!?






 
Mnaona mnavyodanganya? Uliishi wapi Nairobi, hebu rudia tena? South B?





South B na C hapoooo.

Hebu sasa tueleze kweli, ulikuwa ukiishi wapi Nairobi?
Mnaona mnavyodanganya? Uliishi wapi Nairobi, hebu rudia tena? South B?





South B na C hapoooo.

Hebu sasa tueleze kweli, ulikuwa ukiishi wapi Nairobi?
Mnaona mnavyodanganya? Uliishi wapi Nairobi, hebu rudia tena? South B?

Huyu na mwenye mada ni masikini wa tz, mabanda kando ya south B ni ya wajakazi na unskilled labourers industrial area kutoka kenya, tz, ug
 
Truth is indivisible, ukweli siku zote huumiza upande mmoja na kufavour upande mwingine.
I love truth.
Nasubiri Team wanjala walete utitiri wa Mapichapicha ya thika Huge Multi Mega Highway na Nyumba za Kufanana hapo Nai. Ili kujifariji
 
MissM4C

4. Wachache sana wanao afford kula balanced diet, wengi hula mboga tu(sukuma, terere, kienyeji, etc kwa ugali, nyama ni adimu sana hula matajiri tu.....

a.


b.



5. Mb za Kenya huisha kama upepo na very expensive, Tsh 50/= (1110/= Tsh ) unapewa Mb-68 tu, ambazo ukilog in fb dk 10 zinaisha, wakati Tz Fb ni bure na Kwa Tsh 1500/= unapata 1GB and a lot of airtime for a week.

Kwa hili nalo si kweli. 50kshs=150mbs

Hakuna vibando vya kupiga simu kama Tz, mfano Tz unaweza weka Salio ukanunua dk kadhaa za kupiga, Kenya Unaweka Salio na kupiga hivyo hivyo kavu kavu, kudadeki, Tz tuna unafuu mkubwa wa mawasiliano, huduma kama Halichachi Bando n.k zinasaidia wana nchi.

Who still uses phone booths? They died of in circa 2003 in Kenya, with the advent of the cellphones, they now remain in the museums as nothing more than the the relics of history.

5. Uchafu na taka ni changamoto sana, wana nchi hutupa hivyo maana hakuna utaratibu maalumu kama magari, yapo machache but not affordable to wana nchi wa kawaida wa hali ya chini

Again...
15 Dirtiest Cities in the World

6. NAULI kila city basi hujipangia haiko fixed na hakuna governing body yenye hupanga na kuamua nauli kama SUMTRA TZ... So naweza end a tao(town) kwa mbao(20bob=Tsh 440\=) lakini ujaridi kwa 70bob(=1500/= Tsh au soo(Tsh 2000/=) hii INA kufanya ushindwe kupredict

Forces of market demand and supply operates in every aspect of our economy. No need for such regulations by the state. It's capitalism stupid.

7. Wakenya hawasalimiani njiani, unapita kimya kimya unless uwe mnajuana ndo unaaema 'Sasa......" Tz ni waungwana ukipita kwa njia ni must utae hae juu waweza dondoka mbele akaja akakusevu uliyemuacha nyuma

But I dont know who u forkin are!
 
Mnaona mnavyodanganya? Uliishi wapi Nairobi, hebu rudia tena? South B?





South B na C hapoooo.

Hebu sasa tueleze kweli, ulikuwa ukiishi wapi Nairobi?
Mnaona mnavyodanganya? Uliishi wapi Nairobi, hebu rudia tena? South B?





South B na C hapoooo.

Hebu sasa tueleze kweli, ulikuwa ukiishi wapi Nairobi?
Mnaona mnavyodanganya? Huyu na mwenye mada ni masikini wa tz, mabanda kando ya south B ni ya wajakazi na unskilled labourers industrial area kutoka sehemu za kenya, tz, ug n congo pia, wanaojitafutia maisha kenya.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…