Maisha ya mkenya wa kawaida

Maisha ya mkenya wa kawaida

Ndio shida yako/yenu mkuu, mnapopewa facts za kutoka field mnang'ang'ania makaratasi ya Wazungu, mnaona wazungu ndio wenye fact
World bank wametoa fact zao kuwa uchumi wa Tanzania umekua kwa kiwango kikubwa kuliko nchi yoyote ya Africa Mashariki, lakini hayo ni makaratasi tu, fact ni kuwa tulioko field tunajua taabu tunayoipata ambayo haiendani kabisa na data hizo za UN

Kubali ukweli ukiweke huru

Hivi unaelewa maana ya neno 'facts', jifunze kudadavua taarifa kisayansi, sio ukishukia Nairobi na kulala kwenye guest za mitaani halafu unaona ndio umepata facts.
 
Wakenya ni ndg zangu wadamu ola ukweli ni huyu tunaousema.... Mabanda ya kibera na mwingine mliyatunza ya nini? Utalii?

Kuna mda mlijidai kujenga nyumbani kule kuwapa RAIA, lakini zilipokamilka wakawa wanapewa wakikuyu tu, ukabila ni hatari

Lakini pia statistics haziongei kila kitu, angalia uhalisia...... Hata manzese ya Dar sio h hivi,

Yaani nyumbani ya tofali ni anasa kwa RAIA wa kawaida, mabanda yakichemka una kuwa kama unakaangwa, hasa kama umeoa au kuolewa ....
Still waiting for ur reply dear
 
Kubali ukweli uwe huru, Dar es Salaam hamna uchafu huo wa mabanda ya mabati chakavu kama Nairobi.

Kka tunawajua hao Manyang'au, wanajiona wako Ulaya, ni sawa na wahindi tu, huku kwetu wanajifanya wa maana sana lakini ukifika kwao utashangaa na kuona maajabu, Bora Africa mara 1000
 
Ukisikia paaaa imempata, I'm not a Kenya, but I live in Kenya, maisha ni ngumu Kenya for people of low socioeconomic status, whether you agree or not

Wakenya mwenzangu why do you fall to stupid Tanzanian tricks. Mleta mada ata hakutoka kibandani chake dar es salaam Wala hujawai safiri zaidi ya mzunguko wa Dar. Ni Kiki uatafuta apoeshe stress za Dar!!!!keep away

hujielewi wewe. Pole nilitumia kizungu kwa baadhi ya maneno, ni dhairi shairi hukielewi, pole!!!! I am warning my fellow kenyans to keep away from watu wa mabandani Dar kama wewe unatafuta kiki za kufukuza gongo kichwani!!!
 
Ukweli mtupu,Kenya maisha ni magumu sana nimeishi mtaa mmoja inaitwa South b kuna nyumba za mabati tu mitaa hiyo kwa wapangaji wa kawaida!! upande wa chakula ndio hivyo ugali sukuma au mboga flani hivi ya majani nimeisahau jina,Nairobi chai pia ni chakula kikuu unaweza kualikwa na mtu usiku ukijua utakula ugali nyama,au Wali n.k kama tulivyozoea huku ukashangaa umendaliwa chai na mkate ndio life style ya Nairobi
 
11. Makelele ya mziki ndani ya matatu yanaharibu sana maskio, na huwezi sikizana kwa phone ukiwa ndani ya matatu, regaae musics most preferred na matatu ziko equipped na music system nzito sound crazy for we non citizens who were not used to this before

Note:- This report is based in Society with low socioeconomic status which constitutes 75% of Kenyans in Nairobi



First sio matatu zote zenye loud music, zile zikona loud music zikona customers wake, wengi wakiwa vijana from 15-40 years hivi. Rongai ndio route inayo ongoza kwa such type of matatus and rongai is not a low socioeconomic society, it's a well middle class society. So hio point sio necessarily true.
 
Ukishawavua nguo kama hivi huwa wanakimbia, wanachungulia halafu wanasepa.
Hawawezi wakaja huku
wakija na Porojo zao
tunaongezea mengi zaidi ya mleta mada,
Naona mleta mada kachukua zaidi Nairobi
kumbe kuna count kama Turkana
kule ni Kuzimu na Kenya Nyingine kabisa,
kule hakuna cha mtoto wala mwanamke wote wana Bunduki,
Wanatembea na Bunduki utadhani Mtanzania na Simu ya mkononi!!

wanamiliki Bunduki ambazo polisi wa Kenya hajawai ishika toka kuzaliwa
 
hapo kwenye simu unazojaza vocha mjini na kupiga simu kidogo mtindo huo ulipitwa na wakati..ilikuepo miaka ya 2002

Ndio maanake nikasema hawataki kujadili na facts kitaalam, ni mambo ya kukaririshwa na kuaminishwa tu. Mleta mada hata hapepesi macho akidanganya eti kwa Kshs 50 unapata 68MB. Wakati kihalisia na ukweli na fact ni kwamba kwa Kshs 50 unapata 150MB.

Mada kama hizi huwa nazipita kimya siku hizi bila hata kufungua, sijui leo nimefungua kwa makosa maana hamna mtu yupo tayari kujadili kwa kutumia ubongo na elimu, ni zile soga za Dar. Nawaacha wanajipiga mapunyeto na hiyo feel good mentality halafu tunaendelea na maisha, ila ukweli unabaki bila kubadilishwa kwamba Kenya ni nafuu ikilinganishwa na mataifa majirani.
 
Ndio maanake nikasema hawataki kujadili na facts kitaalam, ni mambo ya kukaririshwa na kuaminishwa tu. Mleta mada hata hapepesi macho akidanganya eti kwa Kshs 50 unapata 68MB. Wakati kihalisia na ukweli na fact ni kwamba kwa Kshs 50 unapata 150MB.
Mada kama hizi huwa nazipita kimya siku hizi bila hata kufungua, sijui leo nimefungua kwa makosa maana hamna mtu yupo tayari kujadili kwa kutumia ubongo na elimu, ni zile soga za Dar.

Umeshindwa kwa hoja na uhalisia umeamua ukimbie.
 
Ksh 50 FOR 68MB Which service provider is that?
 
Back
Top Bottom