Huyo Mama anayetembeza machungwa ananitegemea mimi mambo yawe mazuri ili badala ya kukopa machungwa ninunue kapu zima.Maisha ya wafanyakazi sio magumu Kama unavyojaribu kuelezea. Wanauhakika wa chakula Lakini Hawana Uhakika wa anasa.
Mtazame mama mwenye watoto wanne Anaelea watoto wake peke yake kwa kutembeza machungwa, akikusikia ataona unamdhihaki Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya wafanyakazi sio magumu Kama unavyojaribu kuelezea. Wanauhakika wa chakula Lakini Hawana Uhakika wa anasa.
Mtazame mama mwenye watoto wanne Anaelea watoto wake peke yake kwa kutembeza machungwa, akikusikia ataona unamdhihaki Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app