Tatizo la wafanyakazi wengi sio risk takers, 90% hawaamini kufanikiwa nje ya mshahara na hawataki kupata ushauri nje na watu wa kazi.
Kama kuna kundi ambalo lilipaswa kufanikiwa sana ktk ujasiriamali basi ni wafanyakazi wa serikali, mna dhamana ya kukopa bila kuweka nyumba, hivyo biashara yako haina stress kulinganisha na hawa wa kuweka nyumba rejesho kuzalishwa na biashara.
Kulingana na hiyo slip mtumishi huyo anaweza kopa mpaka 15m, hizi ukimpa mjasiriamali mzoefu zinazalisha kwa uchache 2m profit monthly. Tatizo hawafahamu haya.
Sent using
Jamii Forums mobile app