Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

mleta maada niko kinyume naww,badala ya mungu kuingilia Kati Kwa watumishi hebu awaangalie angalau vijana wanaoishi kwa kuokota chupa za maji na kwenda kuuza sh 100 @kg,acheni kukimbilia mikopo ili mnunue Noah ili mtese mjini,nyie wanachama was CWT wengi wenu akili ya kunguni,mnavuta mikopo kabla hamjawa na plans za maana na hela Ya mkopo,matokeo yake mkikatwa mnaona mshahara mdogo,mm nashauri mungu ahangaike na kada zingine kwanza
Umejaribu kujiuliza sababu za maana zinazoweza kuwa zimepelekea yeye kukopa au umewazia ununuzi wa Noah tu?
 
Huku kwenye kujiajiri na biashara ndio usiseme, kwa siku unaweza unauza cement mifuko 3. Halafu faida ya mfuko mmoja ni 500, mabati hayatoki nondo hazitoki yaani watu hawajengi sijui wenzangu wa hardware biashara mnaionaje.[emoji16][emoji16][emoji16].
Tuacheni utani maisha ni magumu kotekote wenye ajira wanapitia magumu kama hayo,na wasiokuwa na ajira pia wanapitia magumu zaidi.

Kikubwa uzima tu, mengine tumuachie baba muumba mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mleta maada niko kinyume naww,badala ya mungu kuingilia Kati Kwa watumishi hebu awaangalie angalau vijana wanaoishi kwa kuokota chupa za maji na kwenda kuuza sh 100 @kg,acheni kukimbilia mikopo ili mnunue Noah ili mtese mjini,nyie wanachama was CWT wengi wenu akili ya kunguni,mnavuta mikopo kabla hamjawa na plans za maana na hela Ya mkopo,matokeo yake mkikatwa mnaona mshahara mdogo,mm nashauri mungu ahangaike na kada zingine kwanza
Unachosahau ni kwamba huyu dada amesota miaka na miaka akilala njaa kule chuoni, akitembea umbali mrefu kwa miguu kuelekea kipindini, sometimes akiftari darasani mwezi wa ramadhani ili asikose kipindi darasani, sometimes wengine wakiuza utu wao ili wale, ili tu siku moja awe na ajira.

Mnakera sana mnaomlaumu eti alipochukua pesa ya heslb alifikiria nini. Hao waokota chupa za maji wengi wao (sio wote) walijitakia.

Kuna mtu eti anasema amuangalie mama mwenye watoto wanne, tunajuaje huyu dada hana hao watoto wanne wanaomtegemea?

All in all pole sana dada yangu na wadau wote mnaopitia magumu. Mungu yu pamoja nanyi
 
Sorry mkuu!!.. Hivi kwa basic salary ya 959k , ni mwalimu uliyekaa miaka mingapi kazini??

Sent using Jamii Forums mobile app
13 now
.. Ni aibu.

Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.

Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Nakushauri tafuta mradi wowote na usitegemee mshahara.
Hata ukilipwa milioni 10 haitakutosha utalalamika tu.
Yani unalipwa laki 9 na bado unalia lia?

Zingatia ushauri.
Usije ukakurupuka ukaacha kazi.
Utakuja kulia na kusaga meno
 
13 now
.. Ni aibu.
Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.
Waoneni tu walimu wanaenda kazini n kurudi.
Duu 13 years

Degree au Diploma.
 
Unachosahau ni kwamba huyu dada amesota miaka na miaka akilala njaa kule chuoni, akitembea umbali mrefu kwa miguu kuelekea kipindini, sometimes akiftari darasani mwezi wa ramadhani ili asikose kipindi darasani, sometimes wengine wakiuza utu wao ili wale, ili tu siku moja awe na ajira.

Mnakera sana mnaomlaumu eti alipochukua pesa ya heslb alifikiria nini. Hao waokota chupa za maji wengi wao (sio wote) walijitakia.

Kuna mtu eti anasema amuangalie mama mwenye watoto wanne, tunajuaje huyu dada hana hao watoto wanne wanaomtegemea?

All in all pole sana dada yangu na wadau wote mnaopitia magumu. Mungu yu pamoja nanyi
Kasomeshwa na HeSLb huyo atalala njaa kivipi chuoni?
 
Ndugu yangu weee, mimi wakati nipo chuoni kaka yangu alikuwa ndio anapata mkopo na mimi hola, mkopo wake huo huo ndio ilibidi tutumie wote na nyumbani alilazimika kutuma kiasi cha pesa ili pia kuwasaidia wazee na baadhi ya wadogo zetu wawili ambao walikuwa Secondary na msingi.

Umeiangalia hio scenario???
 
...Mkuu, pamoja na Yote, bado Mshukuru sana Mungu kwamba angalsu amekujali kuweza kuweka kibindoni japo Laki NNE na Nusu kila baada ya Siku 25!
Fikiria wale ambao hawakubahatisha hivyo...!
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu weee, mimi wakati nipo chuoni kaka yangu alikuwa ndio anapata mkopo na mimi hola, mkopo wake huo huo ndio ilibidi tutumie wote na nyumbani alilazimika kutuma kiasi cha pesa ili pia kuwasaidia wazee na baadhi ya wadogo zetu wawili ambao walikuwa Secondary na msingi.

Umeiangalia hio scenario???
yes kwa scenario hiyo hapo sawa
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
1. Kama haiwezekani kupata mamilioni, jifunze kutunza hizo misimbazi chache unazopata kwa kipindi hiki cha Mzee baba. Naomba ujue kwamba;
Zile ahadi zilikuwa za kutafutia kura tu. Wala msiziwekee matumaini sana.

2. Bora hata wewe! Narudia bora hata wewe!
- Wengi wako chini sana ya hiyo pesa yako.
- Wengi wanatamani hata hicho kidogo ulichobakia nacho.
- Wengi hawana hata mpango wa kupata hata hiyo basic salary yako.
- Fikiria wahitimu wa toka miaka 5 iliyopita na hawajapata hata kibarua!?
Ila kwa kuwa tayari uko kwenye system, ni haki yako kumlalamikia boss wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom