Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Na sisi ambao hatujaajiriwa tunaozunguka na bahasha kwa zaidi ya miaka mi4 tutasemaje [emoji35][emoji35][emoji35]

Kikubwa ni kumshukuru mungu kidogo ulicho nacho maisha yanatembea chakula kinapatikana baas.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye bold, akili ya mvivu hiyo, solution unaona ni kukaa kushukuru mungu, umepata chakula siku imeisha? Watu mkapime akili huyu mungu mnampaisha sana wakati hawasaidii chochote, nenda fanya kazi kama huajiriki fungua biashara yako mwenyewe hata kama ni kuanza kubeba mizigo unapanda. We kaa unashukuru sasa kwa huyo mungu wako utakufa hujafaidi chochote duniani
 
Huku kwenye kujiajiri na biashara ndio usiseme, kwa siku unaweza unauza cement mifuko 3. Halafu faida ya mfuko mmoja ni 500, mabati hayatoki nondo hazitoki yaani watu hawajengi sijui wenzangu wa hardware biashara mnaionaje.[emoji16][emoji16][emoji16].


Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unabiashara mbaya hivyo kwa nini unaendelea kuifanya? Kisa umesikia flani anauza cement na wewe unajaribu kuuza? Saturated market watu wengi mnafanya kitu kilekile. Huwezi kaa ukafikiria kuja na biashara mpya? Umasikini wengi hua mnajitakia wenyewe sababu hamshughulishi akili. Nakushauri jitahidi kusoma kitabu angalau kipya kila wiki au kila mwezi kuhusu biashara, utakuja kuona unachofanya ni ujinga mtupu, expand akili yako uondoe umasikini
 
Kama unabiashara mbaya hivyo kwa nini unaendelea kuifanya? Kisa umesikia flani anauza cement na wewe unajaribu kuuza? Saturated market watu wengi mnafanya kitu kilekile. Huwezi kaa ukafikiria kuja na biashara mpya? Umasikini wengi hua mnajitakia wenyewe sababu hamshughulishi akili. Nakushauri jitahidi kusoma kitabu angalau kipya kila wiki au kila mwezi ikishindikana kuhusu biashara utaona unachofanya ni ujinga mtupu, expand akili yako uondoe umasikini
Tatizo la watu wanafanya biashara kwa mazoea...yaan kama alianzisha biashara 2010 anaifanya kwa kutumia mbinu za mwaka huo huo....time inabadilika na mambo yanapobadilika wealth change hands...asipojifunza mbinu mpya atalialia kama huyu mtumishi wa serikali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuuu
Hapo kwenye bold, akili ya mvivu hiyo, solution unaona ni kukaa kushukuru mungu, umepata chakula siku imeisha? Watu mkapime akili huyu mungu mnampaisha sana wakati hawasaidii chochote, nenda fanya kazi kama huajiriki fungua biashara yako mwenyewe hata kama ni kuanza kubeba mizigo unapanda. We kaa unashukuru sasa kwa huyo mungu wako utakufa hujafaidi chochote duniani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Unaambiwa work as you earn(WAE) mkuu!!
Ukiingia class zuga zuga tu then ingia zako mtaani kufanya ujasiriamali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeleft jf hii mada isingepingwa vikali na walimu tarajali!! Sirikali inatumia sana ile theory ya divide and rule!

Nb_=hakuna maskini aliyetajirika kwa kumchukia tajiri
Mleta mada niko kinyume na wewe, badala ya mungu kuingilia Kati Kwa watumishi hebu awaangalie angalau vijana wanaoishi kwa kuokota chupa za maji na kwenda kuuza sh 100 @kg, acheni kukimbilia mikopo ili mnunue Noah ili mtese mjini, nyie wanachama wa CWT wengi wenu akili ya kunguni, mnavuta mikopo kabla hamjawa na plans za maana na hela Ya mkopo, matokeo yake mkikatwa mnaona mshahara mdogo, mimi nashauri mungu ahangaike na kada zingine kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlizoea vya anasa sana huko awamu ya nne. Huo mshahara ni mkubwa sana. Kuna anaelilia hata laki 2 tu basi anaridhika na maisha inasonga.

Kama unaona haufai, acha kazi, utaona elfu 20 ni hela nyingi balaa
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.

Pole sana mwalimu, ila hapo inaonesha ulikopa kwanin usingetumia fursa ya mkopo uliochukua kufungua biashara itakayoweza kukuingizia hata laki 3 kwa mwezi mana marejesho yako yanaonyesha mkopo ulikua mnono. Na kaz yako inakupa muda haikubani kama utapanga ratba zako vizur mbona nakuona mbali sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ana mapito yake. Kuna ambao hawakusotea masomoni lakini alisota sana katika harakati zake za kujitafutia maisha tena zaidi ya huyo msomi unaemtetea.

Hivi tunaelimika ili tuajiriwe au ili tusolve challenges surrounding including employing ourselves? Nadhan kuna shida kubwa sana kwa wasomi wa kitanzania na ndio maana nasisitiza huyu mtoa mada si bure ana lalamika hapa maana ni zao la uozo fikra na kwakua amepata ajira ndani ya system mbovu basi hana budi ku-swim around and be calm. Alternatively, aache kazi akapambane na maisha mengine of which I doubt she can't dare. So to speak, ashukuru hata kwa hicho kidogo...
Unachosahau ni kwamba huyu dada amesota miaka na miaka akilala njaa kule chuoni, akitembea umbali mrefu kwa miguu kuelekea kipindini, sometimes akiftari darasani mwezi wa ramadhani ili asikose kipindi darasani, sometimes wengine wakiuza utu wao ili wale, ili tu siku moja awe na ajira.

Mnakera sana mnaomlaumu eti alipochukua pesa ya heslb alifikiria nini. Hao waokota chupa za maji wengi wao (sio wote) walijitakia.

Kuna mtu eti anasema amuangalie mama mwenye watoto wanne, tunajuaje huyu dada hana hao watoto wanne wanaomtegemea?

All in all pole sana dada yangu na wadau wote mnaopitia magumu. Mungu yu pamoja nanyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom