Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Dada Mbona Una maisha matamu hivi,mshahara wote huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ni mamburura sana,kwanza kuna mabongolala zaidi yakikuona unajihusisha moja kwa moja na biasha yanakushusha!
Bado kuna mtazamo wa kikoloni kuwa mtumishi wa uma ni yule wa kuchomekea na kuning'iniza funguo za ofisi au nyumba ya kazini!!

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Najua unavyojisikia..pole Sana mpendwa.
 

Ulishachukua mkopo na kuutafuna hukufanyia kitu cha msingi,mkopo repayment imeanza kukatwa imekuminya maslahi yako ndo unaleta porojo..

Maisha ya kulipwa laki nne mazuri sana..uliza sisi tunaopambana huku mtaani..ni kweli tunaingia kwa mwezi adi mamilioni ila chamoto tunakiona..
Maisha ya mwajiliwa ukiufanyia mshaara wako vizuri na mikopo mlionayo kama ni mtu wa kujiongeza basi utakua na maisha mazuri sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…