Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Hayo ndio maisha halisi ya mtumishi wa serikali wa Tanzania. Yaani unaambiwa mshahara laki 9.5 kisha mkononi yakufikia laki 4.

Wakati huo huo mtu aliyefeli la 7 akienda nchi za Uarabuni kusafisha nyumba na kuwatawaza watoto analipwa net laki 8 (nje ya marupurupu) bali akiwa na uzoefu dau linaenda hadi milioni 4 huko.
 
Hayo ndio maisha halisi ya mtumishi wa serikali wa Tanzania. Yaani unaambiwa mshahara laki 9.5 kisha mkononi yakufikia laki 4.

Wakati huo huo mtu aliyefeli la 7 akienda nchi za Uarabuni kusafisha nyumba na kuwatawaza watoto analipwa net laki 8 (nje ya marupurupu) bali akiwa na uzoefu dau linaenda hadi milioni 4 huko.
True.. personally kuna watoto wa kisambaa nawajua ni mayaya uarabuni ni majirani zangu wana mijengo ya maana..we umekaa umechomekea zako unakuna p.umbu tu,kmmk..
 
Hayo ndio maisha halisi ya mtumishi wa serikali wa Tanzania. Yaani unaambiwa mshahara laki 9.5 kisha mkononi yakufikia laki 4.

Wakati huo huo mtu aliyefeli la 7 akienda nchi za Uarabuni kusafisha nyumba na kuwatawaza watoto analipwa net laki 8 (nje ya marupurupu) bali akiwa na uzoefu dau linaenda hadi milioni 4 huko.
Uarabuni?! Acha uongo

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
 
Uarabuni?! Acha uongo

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Haya mie muongo mkuu
======
Screenshot_2020-03-28-17-41-54-1.png
 
Tatizo la wafanyakazi wengi sio risk takers, 90% hawaamini kufanikiwa nje ya mshahara na hawataki kupata ushauri nje na watu wa kazi.

Kama kuna kundi ambalo lilipaswa kufanikiwa sana ktk ujasiriamali basi ni wafanyakazi wa serikali, mna dhamana ya kukopa bila kuweka nyumba, hivyo biashara yako haina stress kulinganisha na hawa wa kuweka nyumba rejesho kuzalishwa na biashara.

Kulingana na hiyo slip mtumishi huyo anaweza kopa mpaka 15m, hizi ukimpa mjasiriamali mzoefu zinazalisha kwa uchache 2m profit monthly. Tatizo hawafahamu haya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unachoongea ni sahihi. Watumishi wa Umma ; mtanisamehe kwa kauli yangu ; wengi ni zero brain na ni waoga wa maisha hatari.

Wakati nafanya kazi kwenye moja ya taasisi ya Umma hapo TZ, nilikuwa na Best yangu tukashauriana tukope pesa Bank , it was 2013. Alikopa 15 M na Mimi 15 M. tulikubaliana hizi pesa tuzitop up na tufanye cha maana. Jamaa alikubali.

Baada ya Pesa kusoma Kwenye A/c, jamaa akabadili maamuzi, akasema bwana mimi nitanunua kiwanja tu, niweke asset ya maana. Nikamwambia fine; akatoa 14 M akanunua kiwanja mbele ya Bunju B kama unaenda Bagamoyo.

Kiwanja kimekaa 6 years hajakijenga wala kukiendeleza, kimsingi alijaribu kukijenga akashindwa. Naambiwa mwaka huu 2020 kaamua kukiuza kwa 11M na hapo kapata tabu kupata mteja.

Wakati huo, Mimi nikasema potelea mbali; nishapoteza pesa nyingi tu, Kwenye 15 M nikaongeza 5 M ikawa 20 M nikafungua biashara moja pale Rangi 3 ambayo kwa sasa mm ndio top Sales wa hiyo biashara na ikazaa biashara nyingine.

Kimsingi naingiza hela inayonifanya kila miezi 3 nirudi bongo kuangalia mustakabali wa biashara.

Sasa maisha ni Kupanga; watumishi wa umma hawajui kupanga. Unakuta mtu anakopa 10 m Halafu yote anaenda kununua gari au kiwanja.

Tuwaige wenzetu wahindi; wanakopa sana bank lakini pesa wanazipeleka Kwenye kuzalisha sio kununua ma viwanja yanayochukua miaka Mingi kuleta faida;

Watumishi utawasikia, Ardhi inapanda thamani sijui nini; Kupanda Thamani my ass, how long does it take ili Ipande thamani ?
Don’t you know that 12 months inatosha to make a difference!

Unaenda kununua ardhi Bunju ndani ndani Halafu utegemee ipande thamani recently, ajabu sana.

Huwezi kuishi kwa mshahara, Unless uwe mwizi na mla rushwa, na utafungwa.

Tengenezeni other source of income, kwa siku unaingiza sio chini ya kati laki 2 hadi 5; inawezekana. Mimi nilianza na biashara ya 20M, kwa siku inaingia elf 80, mara laki, now nikitumiwa mahesabu kwa siku laki 5 nauliza why mauzo yameshuka.

Sio kukopa 10M na kuanza kutatua matatizo ya ndugu zako na shida za kwenu; inayobaki unakimbilia ku nunua kiwanja Shamazi na kinakaa tu; Acheni hayo mambo na uoga wa maisha

Kopa pesa while you are ready to invest kwenye la maana

PERIOD.
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.

Shida kubwa inawasumbuwa wafanyakazi ni kutaka ishi maisha zaidi yakipato chake, nahili msimlalamikie Rais ulipopewa mkopo wa chuo ulitumia vibaya Mungu sio athumani umefanikiwa kupata kazi hujakaa vizuri umekopa mbaya zaidi hukununua kitu kitakuongezea pato lako umenunua mkweche au kufanya harusi ya bei ghali baada yakutapanya pesa unamlilia Rais. Rais amefanya nini kwa taarifa yako mimi nakuona unalipwa pesa nyingi sana maana mm na ajiriwa basic ilikuwa tshs 434,677/= jiulize nili ishije?

Tumekuwa na taifa la vijana wanao enda shule lakini washamba wa maisha hatuna money skills tunaishia kuilaani serikali na kuwa wezi na watapanyaji mwisho tunakufa na ukimwi. mshahara wako ni mkubwa sana kama ungekuwa na akili ya pesa Financial IQ. unapaswa kuiomba serikali radhi kwa kutumia vibaya pesa na kuja hapa jamvini kutuonyesha kuwa serikali haikujali.

Labda nikwambie hakuna mwanadam amewahi tosheka na pesa na ili uwamini wapo wafayakazi wanalipwa same amount na serikali wanamaisha mazuri sana kiasi unaweza acha mdomo wazi.\

unataka uwende subuh upate chai ya tsh 3000/= alafu mchana ule chakula cha 7000/= jioni ukazungushe 12,000 ukisha lewa umuonge dada poa 15,000/=
pesa ikisha isha uje hapa utuwekee slip utushawish serikali haikujali.

HOW POOR ARE YOU
 
Kukopa kwa mfanyakazi haiepukiki..mfano unalipa nyumba kodi sh laki moja kwa mwezi kwa mshahara huo wa gross ya laki9 ambapo take home yake ni kama laki 650,000/=

Jiulize umapotaka kulipa kodi ya miezi 6x 100,000 unabakiza 50,000

Hapo unalipia umeme
Maji
Usafiri mpaka kazini
Kula yako kazini
Social contributions
Una mtoto anasoma shule
Wazazi support yao
Extended family

Zote uchote humo

Hapo ndio utajua hela ya mfanyakazi haitoshi kwa maisha ya kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukuru Mungu kila mwezi una uhakika wa hicho kiasi cha pesa.

Kuna watu hawana uhakika wa kula, kuna watu wamehitimu chuo 2011 hadi leo 2020 hawana ajira.

Mshukuru Mungu kwa hapo ulipo.
 
Vy
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
ama vya wafanyakazi vilikufa miaka harobaini iliyopita.
 
Back
Top Bottom