Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Duh...... Comparison ya mtumishi wa Uma na mama muuza machungwa

Kweli watumishi wana kazi
Maisha ya wafanyakazi sio magumu Kama unavyojaribu kuelezea. Wanauhakika wa chakula Lakini Hawana Uhakika wa anasa.

Mtazame mama mwenye watoto wanne Anaelea watoto wake peke yake kwa kutembeza machungwa, akikusikia ataona unamdhihaki Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Inaonekana wewe Ni wakala wa biashara haramu za binadamu! Uarabuni tunakopajua ndugu zetu wanapofika wananyanganywa passports na simu na kunyanyaswa Hadi kuuwawa, Leo wewe upo upande wao?!

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Kwa hiyo kuwa kwangu na information za mambo hayo ndio kunapelekea kukufanya unituhumu hilo?

Halafu hoja yako si ilikuwa mie ni mwongo kuzungumzia mshahara wa laki 8 kwa mfanya kazi wa ndani uarabuni? Au umejiona sasa wewe ndio mwongo?

Kisha hiyo kazi/biashara ni biashara halali. Ukiona ni haramu, nenda kawalaumu serikali za Afrika ikiwemo Kenya wanaosapoti watu wakapige kazi huko Uarabuni.

We endelea kupiga kazi hapa hapa Tz upate laki 4, utachomoka tu kimaisha. Na pia ajiri mtumishi wa ndani umlipe 40,000 kwa mwezi.
 
Mkuu Inaonekana wewe Ni wakala wa biashara haramu za binadamu! Uarabuni tunakopajua ndugu zetu wanapofika wananyanganywa passports na simu na kunyanyaswa Hadi kuuwawa, Leo wewe upo upande wao?!

Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Unajifanya kuiita biashara haramu wakati ukipata channel utatukimvia ukakusanye milioni 4 huko kila mwezi.

Biashara za unga ambazo ndio haramu mwafanya vizuri na wala hamnufaiki, mapapa ndio wananufaika.
 
Maisha ya wafanyakazi sio magumu Kama unavyojaribu kuelezea. Wanauhakika wa chakula Lakini Hawana Uhakika wa anasa.

Mtazame mama mwenye watoto wanne Anaelea watoto wake peke yake kwa kutembeza machungwa, akikusikia ataona unamdhihaki Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi chochote kuhusu promotions na hali za watumishi kama elimu siko uliko wekeza maisha yako.
Unadhani kwa nini Rais analipwa zaidi ya mbunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida kubwa inawasumbuwa wafanyakazi ni kutaka ishi maisha zaidi yakipato chake, nahili msimlalamikie Rais ulipopewa mkopo wa chuo ulitumia vibaya Mungu sio athumani umefanikiwa kupata kazi hujakaa vizuri umekopa mbaya zaidi hukununua kitu kitakuongezea pato lako umenunua mkweche au kufanya harusi ya bei ghali baada yakutapanya pesa unamlilia Rais. Rais amefanya nini kwa taarifa yako mimi nakuona unalipwa pesa nyingi sana maana mm na ajiriwa basic ilikuwa tshs 434,677/= jiulize nili ishije?

Tumekuwa na taifa la vijana wanao enda shule lakini washamba wa maisha hatuna money skills tunaishia kuilaani serikali na kuwa wezi na watapanyaji mwisho tunakufa na ukimwi. mshahara wako ni mkubwa sana kama ungekuwa na akili ya pesa Financial IQ. unapaswa kuiomba serikali radhi kwa kutumia vibaya pesa na kuja hapa jamvini kutuonyesha kuwa serikali haikujali.

Labda nikwambie hakuna mwanadam amewahi tosheka na pesa na ili uwamini wapo wafayakazi wanalipwa same amount na serikali wanamaisha mazuri sana kiasi unaweza acha mdomo wazi.\

unataka uwende subuh upate chai ya tsh 3000/= alafu mchana ule chakula cha 7000/= jioni ukazungushe 12,000 ukisha lewa umuonge dada poa 15,000/=
pesa ikisha isha uje hapa utuwekee slip utushawish serikali haikujali.

HOW POOR ARE YOU
Mkuu hayo unayoyafikiria ndio unayoyafanya wewe,kwanini kukopa kwake haufikirii anaweza akanunua kiwanja? au shamba? au akamsomesha mdogo wake? unakimbilia kumhukum eti amenunua mara gari,au anatumia pesa vibaya kwa kula launch ya 7000,au breakfast ya 3000.

Sikiliza wewe kinachomuumiza mtumishi ni kuwa na chanzo kimoja tu ambapo anatrgemea mshahara kwa siku 30.Mm ni mtumishi mshahara unategemewa kuwasomesha wadogo zako,kuwasomesha wanao,kutoa sadaka,kuwatunza wazazi wako,kutunza familia yako,unatakiwa siku ya siku uishi kwako kwa maana lazima ujenge, ununue kiwanja, hivi huo mshahara utatosha nini?

Kwanini unafikiri walimu walikuwa wanaililia serikali kuwa iwalipe alawances? Ukiangalia police wanalipwa,wanajeshi wanalipwa,madaktari wanalipwa,manerse wanalipwa, lakini waalimu wanaofanya kazi ya kuwatengenezea wataalam hawalipwi.

Unasema suala la kukopa kufanya biashara hivi mda huo wa kusimamia biashara unapatikana wapi? Au mwalimu asiwafundishe vizuri watoto wenu aende kusimamia biashara? Lazima tukae tufikirie namna ya mambo yanavyotakiwa kuwa lasivyo tutaendelea kuwalaumu waalim pasipo sababu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini azae watoto 4 wakati hana kipato cha kuwa accommodate ? Huoni kama ni tatizo hilo ?
Hii mada mpya ndani ya mada mnaitoa wapi!??

Jamani kuna nini

!?
 
Back
Top Bottom