nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,607
- 8,381
Kwahiyo mnahitaji huruma??????Unachosahau ni kwamba huyu dada amesota miaka na miaka akilala njaa kule chuoni, akitembea umbali mrefu kwa miguu kuelekea kipindini, sometimes akiftari darasani mwezi wa ramadhani ili asikose kipindi darasani, sometimes wengine wakiuza utu wao ili wale, ili tu siku moja awe na ajira.
Mnakera sana mnaomlaumu eti alipochukua pesa ya heslb alifikiria nini. Hao waokota chupa za maji wengi wao (sio wote) walijitakia.
Kuna mtu eti anasema amuangalie mama mwenye watoto wanne, tunajuaje huyu dada hana hao watoto wanne wanaomtegemea?
All in all pole sana dada yangu na wadau wote mnaopitia magumu. Mungu yu pamoja nanyi
Sasa nini faida ya kusotea elimu isiyo na faida huku mkingoja huruma za wanasiasa?
Sent using Jamii Forums mobile app