Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

Pole sana mkuu,yani licha ya makato hayo,bado mafao yako utapata tabu sana kuyapata.
Usiseme mafao!! Mimi zaidi ya miezi minne Sasa nikiwa mstsafu hata nauli ya kunirudisha kwetu sijapata! Hayo mafao kila siku ukiulizia unapigwa tarehe!! Namshukuru Mungu anayehakikisha maisha yangu yanaendelea!! Baada ya kulitumikia Taifa zaidi ya miaka 30, hakuna cha asante wala kiinua mgongo, wala pensheni wala nauli hadi sasa!! Silalamiki, ila Mungu yupo!!
 
Pole sana mzee,ila nyie ndio waungaji mkono wakubwa wa juhudi,vijana wakiwa wakali muwasaidie basi kufikisha ujumbe kwa watawala pale mambo yanapokwenda ndivyo sivyo.
 
Huko unakokwenda siko! Ila nilikuwa nasikia tu!! Joto la mstaafu usipimeusipime!! Hali halisi ya mtumishi wa umma ukiacha viongozi wachache waandamizi na wenye mwelekeo Wa ufisadi!! Ukijitahidi sana kujiandaa utakuwa na nyumba ya kuishi na usafiri tena kwa mikopo ya bandika bandua!! Ukiongeza na kusomesha watoto huwezi kwenda zaidi ya hapo! Ukistaafu utagundua kuwa nyumba hailiwi, kama bado una watoto wako shule ndo usipime! Maumivu yake anayajua Muumba!! Halafu anayekuzungusha mafao naye hajui kuwa kuna siku atastaafu!! Lakini kwa kuwa ana miaka zaidi ya 20 mbele anadhani hatakaa astaafu!!
 
13 now
.. Ni aibu.

Na hapo najiona na bahati.. Kuna wenzangu wako chini Huko. Mfumo wa madaraja hauko uniform. Kuna mambo ya ajabu sana.

Waoneni tu walimu wanaenda kazini na kurudi.
Ina maana Mwalimu Wa digrii anayeanza kazi anaanzia sh ngapi? kama wewe Wa miaka 13 unapata 950,000/= tu.?
 
Huko unakokwenda siko! Ila nilikuwa nasikia tu!! Joto la mstaafu usipimeusipime!! Hali halisi ya mtumishi wa umma ukiacha viongozi wachache waandamizi na wenye mwelekeo Wa ufisadi!! Ukijitahidi sana kujiandaa utakuwa na nyumba ya kuishi na usafiri tena kwa mikopo ya bandika bandua!! Ukiongeza na kusomesha watoto huwezi kwenda zaidi ya hapo! Ukistaafu utagundua kuwa nyumba hailiwi, kama bado una watoto wako shule ndo usipime! Maumivu yake anayajua Muumba!! Halafu anayekuzungusha mafao naye hajui kuwa kuna siku atastaafu!! Lakini kwa kuwa ana miaka zaidi ya 20 mbele anadhani hatakaa astaafu!!

Kiukweli hali ya mtumishi wa kawaida kabisa sio nzuri kabisa mzee,sema tu ni vile hakuna pa kwenda,ila wengi wao wapo discouraged sana hata utendaji kazi wao sio wa kuridhisha kabisa kutokana na hali ya kipato chao kuwa kidogo sana
 
Mungu awasaidie asee mtavuka tu kama mkijiongeza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wengi wetu tunajisahau kwenue kuwekeza,wengi tunaemdekeza starehe Hadi 40s years tunastuka tukiwa na family majukum huku umepanga,pia haoni Ni mafanikio kusoma degree kwa kulipwa na serikali manake wengine wapo kitaa hata chuo hawjafika,atafuye washauri
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Kwa hali ya hali ya maisha ilivyo hiyo ni pesa ndogo na kwa kweli ni changamoto kwa watumishi
 
Maisha ya wafanyakazi sio magumu Kama unavyojaribu kuelezea. Wanauhakika wa chakula Lakini Hawana Uhakika wa anasa.

Mtazame mama mwenye watoto wanne Anaelea watoto wake peke yake kwa kutembeza machungwa, akikusikia ataona unamdhihaki Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu bora muuza machungwa ndugu hawaendi kutangaza shida wanasema hana kazi ila huyo mwenye salary wanaenda kisa ana kazi yan mtihan kwel hapo
 
Huko unakokwenda siko! Ila nilikuwa nasikia tu!! Joto la mstaafu usipimeusipime!! Hali halisi ya mtumishi wa umma ukiacha viongozi wachache waandamizi na wenye mwelekeo Wa ufisadi!! Ukijitahidi sana kujiandaa utakuwa na nyumba ya kuishi na usafiri tena kwa mikopo ya bandika bandua!! Ukiongeza na kusomesha watoto huwezi kwenda zaidi ya hapo! Ukistaafu utagundua kuwa nyumba hailiwi, kama bado una watoto wako shule ndo usipime! Maumivu yake anayajua Muumba!! Halafu anayekuzungusha mafao naye hajui kuwa kuna siku atastaafu!! Lakini kwa kuwa ana miaka zaidi ya 20 mbele anadhani hatakaa astaafu!!
nikiwaza hapo nakata tamaaa ya kutafuta ajira
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Sema maisha ya mwalimu sio ya watumishi wa umma. Sisi watumishi wa BOT na rafikizetu wa TRA unatudhalilisha.

Sent using COVID-19
 
Usiseme mafao!! Mimi zaidi ya miezi minne Sasa nikiwa mstsafu hata nauli ya kunirudisha kwetu sijapata! Hayo mafao kila siku ukiulizia unapigwa tarehe!! Namshukuru Mungu anayehakikisha maisha yangu yanaendelea!! Baada ya kulitumikia Taifa zaidi ya miaka 30, hakuna cha asante wala kiinua mgongo, wala pensheni wala nauli hadi sasa!! Silalamiki, ila Mungu yupo!!

Heri yako wewe ulieumaliza mwendo wa utumishi wa umma kwani mwisho wa siku utapata stahiki zako japo zimechelewa.

Mungu akufanyie wepesi katika subra hii.
 
Usiseme mafao!! Mimi zaidi ya miezi minne Sasa nikiwa mstsafu hata nauli ya kunirudisha kwetu sijapata! Hayo mafao kila siku ukiulizia unapigwa tarehe!! Namshukuru Mungu anayehakikisha maisha yangu yanaendelea!! Baada ya kulitumikia Taifa zaidi ya miaka 30, hakuna cha asante wala kiinua mgongo, wala pensheni wala nauli hadi sasa!! Silalamiki, ila Mungu yupo!!
Dah. Nimedondosha chozi..😭
 
Hapo akijumlisha na Salary Advance mbona anatoboa April.
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Hamieni Chato mfurahie maisha
 
Fuata ndoto zako kijana...usiogope kuajiriwa au kujiajiri kama ndiko waamini utapata fungu lako

Kila mtu ataishi kwa kipawa, kudra za Mwenyezi Mungu na usisahau kuwa na kadiri.
huwa naona bora nijiajiri tu
 
Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi.

Tunaishi ka gidigidi.

Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu.

Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu.

Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu hata kujivunia. Miaka mingi kazini.

View attachment 1401545

Mungu atusaidie tu. Tizameni makato.
Vyama vya wafanyakazi viko wapi.
Kwenye fasihi ya kihindi kuna methali moja:' I was complaining of having no shoes until I met some one with no feet'. Kuna wenzio ni graduates, wengine ni post graduates, basic yao ni ndogo kuliko take home yako. Shukuru unafanya kazi kwenye taasisi ya serikali, kampuni binafsi, tena za wahindi, ni maumivu makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom