LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,394
- 6,550
Embu tuache kuwalaumu watu kama nyie ndo motivation speakers. Asikwambie mtu kuanza biashara kwa mtumishi wa uma ni kazi ngumu utaishia kupata presha tu.
Kweli anatakiwa atunze hela. Embu tupge picha yeye pekee ndo ameajiriwa na mwenza wake anapambana na kibarua kwa wahindi ambao kwa mwezi wanatoa 100k.
450.
1.Weka nauli yake toka home to job( utasema mwalimu bure) weka buku 2.
2.Chakula akiwa kazini 2000
3. Matumizi ya familia( umeme,maji,chakula,ulinzi shirikishi, misiba, na nauli za watoto shule na hela ya kula shule, )akibana sana 10,000.
4. Michango ya jamii( simu, misiba, kufuatilia kadi bima ya afya, kufuatilia lost ids kama ikitokea, kufuatilia maendeleo ya watoto, pesa za wazazi/walezi)
5. Ashukuru Mungu kama alikopa akajenga kibanda, kama alifanya biashara aweke na bajeti ya kodi/ gharama za kuendesha biashara
Embu piga hesabu anasave ngapi?
Kwenye biashara, ajiandae kuwa mbunifu, na ndoa aikose au akose maadili Mema kwa watoto wake....
House girl/maid chenga, shamba boi maji, kila siku kwako unatengeneza boko boko, tena la maji chumvi..
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkopo wa Bodi umechukua umekula wewe. Mkopo wa NMB umechukua wewe, unajua ulichofanyia lakini hela umechukua. Unalia nini na makato? Mimi naita hii ni dhihaka. Basic salary yako ipo vizuri kuliko watumishi wengi sana wa serikali. Wapo ambao hiyo take home yako ndio basic salary Yao na wapo ambao hiyo take home yako, nikubwa kuliko basic salary zao.
Tatizo watumishi wengi wa umma wanakopa pesa kufuata mkumbo. Hela ya mkopo anatumia ndani ya wiki au mwezi lakini makato anasota nayo miaka 4 mpaka 7. Hii ni hatari wakati mkopo haumuingizii hata shilingi tano.
Pia watumishi wa umma wengi hawana utaratibu wa kujiwekea akiba ili hata siku akipata shida ya ghafla badala ya kukopa anachukua akiba yake.
Watumishi wengi wanatakiwa wajiongezee kwa kuweka vyanzo vingine vya mapato.
Mkifanya mchezo mukistaafu au kufukuzwa kazi, huku mtaani mutateseka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app